Home Uncategorized FALCAO NA SELEMAN KUPATA FEDHA ZA BURE TOKA CAF

FALCAO NA SELEMAN KUPATA FEDHA ZA BURE TOKA CAF


Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla amesema kuwa wachezaji hao wawili Molinga na Selemani wamewaandalia mgao wa Shilingi 100,000.

Mgao huo wataupata  kuptia fedha itakayoingia ndani ya klabu kupitia Caf kutokana na kukosa mechi ambazo walipaswa kucheza katika mashindano hayo.

“Wachezaji hao ambao hawatacheza Caf tunawapatia 100, 000 kila wiki.

“Lengo ni ili wasiwe wapweke baada ya kukosa mashindano hayo makubwa Afrika ambao ni Molinga na Selemani.

SOMA NA HII  KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO