Home Meridianbet MERIDIANBET YARUDIAHA TABASAMU KWA MTAA TENA….

MERIDIANBET YARUDIAHA TABASAMU KWA MTAA TENA….

Meridianbet

Ni walewale na sio wengine mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet leo imeendelea kuthibitisha ukarimu wake hawa kwa jamii ambayo imekua ikiwazunguka.

Wababe hao wenye Odds Bomba leo wamefika eneo la Kawe sokoni na Mbezi Afrikana na shughuli iliyowapeleka ilikua ni moja tu, Ambapo ni kuhakikisha wanatoa msaada katika maeneo hayo mawili ambayo yana uhitaji.

Meridianbet wamefika soko la Kawe leo na kutoa vifaa vya usafi kama Mafagio, Mabuti ya kufanyia usafi, Barakoa, na Gloves, Lakini pia walifanikiwa kutoa Reflectors kwa Bodaboda wa eneo la Mbezi Afrikana na kwajili ya kuwasaidia kiusalama zaidi.

Bashiri michezo mbalimbali ambayo imepewa ODDS BOMBA pale Meridianbet wikiendi hii Bashiri sasa uweze kushinda mkwanja mnene.

Kaimu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka kampuni ya Meridianbet bwana Abubakar Kulindwa alikua sehemu ya uwakilishi wa Taasisi hiyo kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa na alifanikiwa kuzungumza machache”Ni furaha yangu kuwepo mahali hapa kuhakikisha zoezi hili la  kutoa vifaa hivi vya usafi linaenda vizuri ambapo natambua vitasaidia kuimarisha usafi katika soko hili”.

Wenyekiti wa mtaa wa Mbezi Afrikana na Kawe pia walipata fursa ya kuzungumza machache hawakua na mengi ya kusema zaidi ya kutoa shukrani kwa Meridianbet kwa kuhakikisha wanaendelea kurudisha kwenye jamii yao, Lakini zaidi wakiwasihi Meridianbet wasiache kugusa jamii zenye uhitaji kila mara.

SOMA NA HII  NJIA RAHISI ZA KUPATA BONASI ZA KASINO NA USHINDI MKUBWA...