Home Uncategorized GUARDIOLA AJIUNGA GIRONA FC

GUARDIOLA AJIUNGA GIRONA FC


Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amejiunga na klabu ya Girona ya Hispania ambayo ilishuka daraja msimu uliopita.

Guardiola amejiunga na klabu hiyo kama mwanachama ambayo inamilikiwa na kuendeshwa na kaka yake, Pere Guardiola.

SOMA NA HII  HATMA YA CIOABA NDANI YA AZAM FC IPO NAMNA HII