Home Uncategorized NYOTA MWINGINE WA SIMBA ATIMKIA KUKIPIGA ASIA

NYOTA MWINGINE WA SIMBA ATIMKIA KUKIPIGA ASIA


Al Jahara Sporting Club ni nchi inayopatikana ndani ya Bara la Asia katika nchi ya Kuwaiti kwenye mji wa Jahra City.

Imeshinda taji la Ligi Kuu ya Kuwaiti mara mojana ilikuwa ni mwaka 1990 na imeshiriki mara 21 kwenye Ligi hiyo.

Inatumia Uwanja wa Mubarak Al-Aiar na Meneja wao ni Boris Bunjak.

Huko ndiko nyota wa Simba, Adam Salamba amekwenda kukipiga kwa mkopo.

SOMA NA HII  MAJEMBE MAPYA YANGA YAFICHWA HOTELI YA KISHUA