Home Meridianbet BUKUA MAMILIONI KUPITIA UEFA CHAMPIONS LEGUE LEO….

BUKUA MAMILIONI KUPITIA UEFA CHAMPIONS LEGUE LEO….

Meridianbet

Usiku wa ulaya rasmi umerejea ila haujarejea kinyonge umekuja kibabe haswa msimu huu wa 2024/25 kwani mkwanja upo wa kutosha na wateja wa Meridianbet wataweza kuibuka na vitita kila michezo hii inapopigwa.

Mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wenyewe wanakuambia mwaka huu ligi ya mabingwa ulaya hakuna unyonge, Kwani wamehakikisha wanamwaga Odds za kutosha kwenye michuano hii ili wateja wake waweze kushinda.

Mchezo wa kibabe leo na wa kisasi utakua kati ya Manchester City Vs Inter Milan ambapo utarejesha kumbukumbu za fainali ya michuano hii mwaka 2023, Ambapo Man City waliibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri hivo leo Inter Milan watakua wanahitaji kulipa kisasi ni mchezo mzuri kuutazama lakini pia kutengeneza hela.

Borussia Dortmund wanafainali wa michuano ya hii msimu uliomalizika leo wanatupa karata yao ya kwanza kwenye michuano hii msimu huu wakiwa ugenini dhidi ya Club Brugge, Mchezo ambao Dortmund amepewa nafasi kubwa ya kuibuka na matokeo ya ushindi.

PSG wakiwa wameuanza msimu vizuri sana leo wakiwa nyumbani wanacheza mchezo wao wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya Girona kutoka nchini Hispania, Mchezo ambao unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa lakini PSG wakitarajiwa kuendelea na moto waliouanza nao msimu huu.

Celtic kutoka nchini Scotland leo watamenyana na klabu ya Slovan Bratislava kutoka Slovakia mchezo ambao umepewa Odds bomba sana pale Meridianbet, Hivo kazi kwako kuwekau ubashiri wako uweze kunyakua kitita.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

SOMA NA HII  KWA TSH 250/= YABADILI MAISHA YAKO KUWA YAKITAJIRI KUPITIA SLOT YA MULTIFIRE YA MERIDIANBET..