HABARI ZA SIMBA-FABRICE NGOMA
Habari za Simba Leo

FABRICE NGOMA AUWASHA MOTO SIMBA…AOMBA KUONDOKA.

Abubakar August 13, 2024 10:18 am

KIUNGO wa Simba Fabrice Ngoma, ameonyesha kuto pendezwa na utaratibu wa uongozi wa benchi la ufundi la klabu ya Simba SC, kumuanzisha benchi mchezaji huyo Kila mechi.

Hayo yamezungumzwa kupitia wakala wa mchezaji huyo wakala wa mchezaji Fabrice Ngoma, amesema nibora uongozi wa klabu hiyo useme kama hawana uhitaji naye Kwa sasa Kisha wamlipe pesa ya mwaka mmoja uliobaki Ili aende akatafute changamoto mpya sehemu nyingine.

β€œViongozi wa Simba wanamkosea heshima mchezaji wangu,Kama hawamtaki wanipigie Simu ili nimpeleke sehemu Nyingine,kuna vilabu zaidi ya 200 vinamtaka Ngoma,hivyo watulipe hela ya msimu Mzima tuondoke zetu,” amesema fausty world Wakala wa Fabrice Ngoma.

Mechi zote mbili za Kimashindano za Simba, Ngoma ameanzia benchi,Β  kwenye mechi ya Yanga na Coastal Union ambapo mechi hiyo alioneshwa kkadi nyekundu ambayo itamkosesha mchezo wa kwanza wa Ligi.

Fabrice Ngoma alianza kwenye mchezo wa Simba Day dhidi ya APR na baadae kutolewa nafasi yake akaingia Debra Fernandes Mavambo.

YANGA SIRI IMEFICHUKA…MIL 300 ZATUMIKA KUIANGAMIZA SIMBA…AZAM WAMO AYOUB LAKRED, NGOMA MUDA WOWOTE WANAONDOLEWA SIMBA…USAJILI WA HUYU UNANUKIA