Home Meridianbet JUMATANO YA KUOKOTA NA MERIDIANBET KUPITIA LA LIGA, UCL QUALIFICATION, NA EFL…

JUMATANO YA KUOKOTA NA MERIDIANBET KUPITIA LA LIGA, UCL QUALIFICATION, NA EFL…

Meridianbet

Maokoto sio mpaka wikiendi tu hata siku za wiki unaweza kuendelea kuokota na Meridianbet, Ambapo Jumatano hii zitaendelea kupigwa ligi mbalimbali ambazo zinakuhakikishia uhakika wa kupiga mkwanja.

Baada ya kushinda wikiendi Atletico Madrid leo watakua nyumbani kumenyana na klabu ya Espanyol, Huku kukiwa na mchezo mkali wa kufungia siku utalua kati ya Athletic Club watakipiga dhidi ya Valencia.

Kwenye michezo ya kufuzu ligi ya mabingwa ulaya hatua ya makundi kwa msimu wa 2024/25 nayo itaendelea ambapo klabu ya Slavia Prague watacheza dhidi ya Lille, Huku Qarabag Fc wao wakimenyana na klabu ya Dinamo Zagreb.

Bado mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kuhakikisha unapigwa mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali inayopigwa kila siku bila kusahau wanaendelea kumwaga ODDS BOMBA kila siku.

Kutakua na michezo mingine ya michuano ya EFL pale nchini Uingereza ambapo itapigwa mechi kali kati ya Nottingham Forest Vs Newcastle, Wolves Vs Burnley, mchezo mwingine utakua ni kati ya Bournamouth Vs West Ham United.

Michezo yote itakayochezwa leo imepewa Odds za kutosha pale kwenye tovuti ya mabingwa wa kubashiri wa muda wote kampuni ya Meridianbet. Weka mkeka wako sasa uweze kujishindia mamilioni

SOMA NA HII  KWAPUA MKWANJA WA MAANA NA MERIDIANBET LEO....