Home Habari za Yanga Leo MUDATHIR ATEMA NYONGO WANAOPONDA WACHEZAJI WAZAWA

MUDATHIR ATEMA NYONGO WANAOPONDA WACHEZAJI WAZAWA

HABARI ZA YANGA

KIUNGO wa Yanga na Timuya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mudathir Yahya ametema nyongo kwa wale wanaoibeza timu ya taifa pamoja na wachezaji wake.

Mudathir aliyefunga bao la ushindi dhidi  ya Guinea na  kuipatia Stars pointi 3 muhimu, alisema kwamba wachezaji wadogo wanaumia na maneno ya Watanzania wanaoibeza timu ya taifa.

“Watanzania wenzetu wanatubeza ila tunashukuru mungu, hatumii bali ndio wanatupa motisha wao wanahisi maneno yao yanatuangusha, wachezaji wadogo wanaumia ila sisi tuliocheza muda mrefu hayatuangushi bali wanatupa nguvu, sisi tunawashukuru kwa maneno yao.”- Mudathir Yahaya

SOMA NA HII  MANARA AMTAFUTIA TIMU ULAYA FEISAL SALUM "FEI TOTO"...KULIPWA MIL 300...