Habari za Yanga Leo

YANGA YAPORWA KOMBE UWANJANI…JKT QUEENS WABABE

Abubakar October 5, 2024 8:53 pm

Timu ya wanawake JKT Queens imeibuka bingwa wa Mashindano ya Ngao ya Jamii baada kuifunga Yanga Princes goli moja bila majibu.

Vuta nikuvute katika mchezo huo uliamliwa na JKT Queens dakika ya 88 ya mchezo bila Yanga Princes kufurukuta.

Kabla ya mchezo huo, Simba Queens imeshika nafasi ya tatu baada ya kuifunga CEASIAA magoli manne bila majibu.

SUKA JAMVI LAKO NA MERIDIANBET LEO…. SIMBA YAAMBULIA MEDALI…YANGA YASHINDWA KUTWAA NDOO