Simba SC
Habari za Simba Leo

SIMBA NA WAARABU KWANI KUNA UGOMVI?

Abubakar October 7, 2024 5:19 pm

Klabu ya Simba imejikuta ikiangukia kwenye mikono ya waarabu kwa mara nyingine tena, na safari hii timu zote alizopangwa nazo zinatoka nchi za magharibi ya Afrika yaani Tunisia, Algeria na Libya.

Kwa upande wa Mnyama Simba, yeye yupo kule kwenye kombe la shirikisho, na alifuzu hatua ya makundi baada ya kuwanyoa waarabu wa Libya Al Ahli Tripoli kwa mabao 3-1.

Mara baada ya droo ya kombe la Shirikisho Afrika kukamilika, Simba walijikuta kundi A na vilabu kama; CS Sfaxen ya Tunisia, CS Costantine ya Algeria na FC Bravos Do Maqouis ya Libya.

YANGA YAPANGWA NA MAZEMBE…BENCHIKA NDANI MOHAMED ZOUGRANA TISHIO KWA YANGA