Home Meridianbet SUKA JAMVI LAKO NA MERIDIANBET LEO….

SUKA JAMVI LAKO NA MERIDIANBET LEO….

Meridianbet

Wikendi ya leo murua sana ukibashiri na Meridianbet huku ukiwa na nafasi ya kuwa Milionea?. Mechi kibao zinachezwa leo huku Meridianbet tayari wameshakuwekea machaguo uyapendayo. Ingia na ubashiri hapa.

Pesa ipo hapa kwenye mechi za ligi kuu ya Uingereza, EPL ambapo Arsenal atakuwa mwenyeji wa Southampton ambaye hajashinda mechi yoyote hadi sasa kwenye ligi. The Gunners haijafungwa mechi yoyote hadi sasa huku Meridianbet ikimpa nafasi kubwa ya kushinda leo kwa ODDS 1.16 kwa 14.7. Bashiri sasa.

Wakati huo huo, Manchester City baada ya kutoa sare mechi mbili mfululizo, leo atamenyana dhidi ya Fulham ambapo mechi ya mwisho kukutana, City aliondoka na pointi 3. Guardiola anahitaji ushindi leo pale Etihad ili asipitwe pointi nyingi kwenye mbio za ubingwa. Je vijana wa Marco Silva wanaweza kumzuia Pep kushinda leo?. Jisajili hapa.

Jumamosi ya kibabe imewadia hapa, ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Brentford nao watakiwasha dhidi ya Wolves huku mwenyeji mechi yake iliyopita akitoa sare na mgeni wake akipoteza. Ikumbukwe kuwa Mbwa Mwitu hawajashinda mechi yoyote toka ligi ianze na kushinda leo wana ODDS 3.43 kwa 2.04. Mechi ya mwisho kwenye ligi walipokutana, Nyuki alishinda. Je mgeni anaweza kulipa kisasi?. Suka jamvi lako hapa.

Baada ya kushinda mechi iliyopita, leo hii Everton watakuwa wenyejie wa Newcastle United ambao wametoka kutoa sare. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 3.14 kwa 2.14. Wewe unampa nani aondoke na ushindi leo? Jisajili hapa.

Kule Ujerumani nako, BUNDESLIGA itaendelea kama kawaida Union Berlin baada ya kupoteza mchezo wake uliopita atakuwa mwenyeji wa Borussia Dortmund ambaye alishinda mechi yake iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni pointi 2 pekee. Bashiri mechi hii yenye ODDS 3.28 kwa 2.13.

Naye bingwa mtetezi Bayer Leverkusen baada ya kutoa sare mchezo uliopita, leo hii atakuwa akisaka pointi 3 dhidi ya Holstein Kiel ambaye ndiye kibonde wa ligi akiwa na pointi 1 pekee kwenye mechi 5 ambazo kacheza. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Beti sasa.

Pia mechi nyingine ni hii ya Werder Bremen vs SC Freiburg ambapo timu hizi zote zinahitaji ushindi leo kwani hawajatofautina sana kwenye msimamo. Mwenyeji ana pointi 8 na mgeni ana pointi 9. Msimu uliopita mechi ya mwisho kukutana, Bremen alishinda. Bashiri mechi hii sasa.

LA LIGA pia itaendelea kama kawaida Getafe atakuwa mwenyeji wa CA Osasuna ambaye alishinda kwa kishindo mechi iliyopita huku mwenyeji yeye akishika nafasi ya 16 na pointi 7 pekee. Meridianbet wamempa mwenyeji nafasi ya kushinda kwa ODDS 2.16 kwa 3.87. Suka jamvi hapa.

Real Valladolid ambaye ni wa 19 atakipiga dhidi ya Rayo Vallecano ambaye ni wa 9. Tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee huku Meridianbet wakikupa ODDS KUBWA na machaguo ya kutosha kwenye mechi hii. Jisajili sasa.

Pia bingwa mtetezi, Real Madrid atakuwa Santiago Bernabeu leo kusaka pointi 3 dhidi ya Villarreal CF. Nyambizi wa Njano yupo nafasi ya 3 na vijana wa Ancelloti wpao nafasi ya 2 huku tofauti ya pointi ikiwa ni moja pekee. Mechi hii imepewe ODDS 1.24 kwa 9.21. Bashiri sasa.

Vilevile ligi kuu ya Italia SERIE A, leo kitawaka haswa mapema tuu Udinese baada ya kupoteza mechi iliyopita, atakuwa uso kwa uso dhidi ya US Lecce ambaye alipoteza mchezo wake uliopita. Nafasi kubwa ya kushinda anapewa mwenyeji kwa 2.50 kwa 2.94. Wewe unampa nani ushindi leo?. Beti sasa.

Saa moja usiku Atalanta atakipiga dhidi ya Genoa huku vijana wa Gasperini wakishindwa kushinda mechi yake iliyopita, huku mgeni yeye akichapika vibaya sana kwake. Mechi za msimu uliopita kuonana zote mbili Atalanta alishinda. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi ugenini?. Tandika jamvi hapa.

Inzaghi na vijana wake Inter Milan atapepetana dhidi ya Torino. Timu hizi zote zina pointi sawa. Je leo hii nani anaweza kumpita pointi mwenzake au timu zote zitatoshana nguvu?. Mechi hii ina ODDS 1.29 kwa 9.60. Jisajili hapa.

Meridianbet pia wanakwambia unaweza ukabashiri mechi za ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 ambapo Lille atamenyana na Toulouse ambaye alipoteza mechi yake iliyopita. Mwenyeji anamzidi mgeni pointi 5 pekee huku mtanange wa mwisho kukutana, Toulouse alishinda. Leo nani kuibuka mbabe?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.75 kwa 4.31.

Stade Rennes vs AS Monaco ni kivumbi leo ambapo mwenyeji ametoka kupigika mechi yake iliyopita wakati mgeni yeye akishinda mechi yake iliyopita. Rennes kushinda mechi hii amepewa ODDS 2.74 na mgeni wake amepewa 2.45. Nani kuondoka kifua mbele leo? Beti hapa.

 

SOMA NA HII  KUPITIA ODDS HIZI ...MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUTIMIZA NDOTO ZAKO LEO...