Home Meridianbet USIPOTEZE NAFASI YA KUVUNA MKWANJA WA UHAKIAK KWA ODDS KUTOKA MERIDIANBET…

USIPOTEZE NAFASI YA KUVUNA MKWANJA WA UHAKIAK KWA ODDS KUTOKA MERIDIANBET…

Meridianbet

Baada ya jana kushuhudia mitanange kibao ikipigwa katika ligi mbalimbali, leo hii pia kuna mechi za kibabe zitakazopigwa ambapo mechi hizo zina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet.

Ligi kuu ya NBC Tanzania itaendelea leo ambapo KMC ataumana dhidi ya Fountain Gate ambao wapo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi huku mechi ya mwisho akipoteza wakati Wanakino Boys wao walishinda. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.71 kwa 4.01. Suka jamvi hapa.

Kivumbi kingine ni hiki cha Mashujaa dhidi ya KenGold ambao ndio vibonde wa ligi hii wakishinda mechi moja pekee kwenye michezo saba ambayo wamecheza. 1.62 kwa 5.48 ndio ODDS za mechi hii. Ingia na ubashiri sasa.

Jumatatu ya leo ni ya ushindi na Meridianbet ambapo, ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Leo hii pale EPL kutakuwa na mechi moja kali sana kati ya mwenyeji Nottingham Forest VS Crystal Palace huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 7 pekee. Palace yupo nafasi ya 18 na Forest yupo nafasi ya 12 kwenye ligi. Mara ya mwisho kukutana, walitoka sare kwenye michezo yote miwili. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.45 na 2.89. Jisajili hapa.

Pia LALIGA nayo kuna mtanange mmoja wa kukata na shoka ambapo Valencia baada ya kutoa sare mchezo uliopita atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya UD Las Palmas ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Kila timu inahitaji ushindi hii leo kwa hali na mali ili ijiweke kwenye nafasi nzuri ya msimamo. Mechi hii ina ODDS 1.71 kwa 5.09. Bashiri sasa.

Piga pesa leo hii pia na ligi kuu ya Italia SERIE A ambapo hapa kuna mchezo mmoja Hellas Verona VS AC Monza ambaye ana hali mbaya kwenye msimamo wa ligi akishika nafasi ya pili kutoka mwisho. Mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. Je leo nani ataibuka na pointi 3?. Mechi hii ina ODDS 2.37 kwa 3.33. Jisajili hapa.

SOMA NA HII  RUDISHA MPAKA 10% YA DAU LAKO KUPITIA CASINO ZA MERIDIANBET....HUKU SIO LAZIMA KUPOTEZA...