Home Meridianbet JUMANNE YA UEFA HII HAPA…MKEKA WA MERIDIANBET HUU HAPA…

JUMANNE YA UEFA HII HAPA…MKEKA WA MERIDIANBET HUU HAPA…

Meridianbet

Kama ilivyo ada inajulikana kuwa leo ni siku ya mechi za Ligi ya mabingwa Duniani hivyo wewe kama mteja suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri mechi zote za leo. Hakika Meridianbet Ndio Chimbo la mabingwa.

Tukianza na Juventus ambao wapo chini ya Thiago Motta watasafiri hadi kule Ubelgiji kumenyana dhidi ya Club Brugge ambao wapo nafasi ya 19 hadi sasa na tofauti yao ikiwa ni pointi 1 pekee. Je vijana wa Allianz pale leo hii watapata matokeo gani ugenini?. Suka jamvi mechi hii yenye ODDS 3.30 kwa 2.30.

Vijana wa Arne Slot Liverpool ambao wapo kileleni kwenye msimamo wa ligi watakuwa Anfield leo hii kukipiga dhidi ya Lille kutoka kule Ufaransa. Jogoo ameshinda mechi zake zote 6 hadi sasa huku mgeni wake yeye akishinda mechi zake 4, sare 1 na kipigo mara moja. 1.27 kwa 10 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.

Huku Slovan Bratislava watamleta kwao VFB Stuttgart ya kule Ujerumani na mpaka sasa wana pointi saba kwenye msimamo, huku mwenyeji yeye mpaka sasa akiwa hana hata pointi moja. Je leo hii anaweza kuokota angalau pointi akiwa kwake?. 11 kwa 1.25 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya kukupa pesa leo. Bashiri na Meridianbet leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

AS Monaco ya Ufaransa yatakipiga dhidi ya Aston Villa ya Unai kule Uingereza ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee huku Meridianbet wakimpa nafasi ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.45 kwa 2.85. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Suka jamvi hapa.

Wakati huo huo Atalanta nao watakuwa nyumbani kusaka pointi 3 dhidi ya Sturm Graz ambao wapo nafasi ya 19 kwenye msimamo huku wakiwa na pointi zao 3 kwenye mechi zao 6 walizocheza. Kila timu inahitaji pointi tatu za ushindi leo huu ambapo ODDS zao leo hii ni 1.19 kwa 15. Jisajili hapa.

Vilevile baada ya Atletico Madrid kushinda mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa na kibarua cha kusaka pointi zingine dhidi ya Bayer Leverkusen ambao pia nao walishinda mechi yao iliyopita. Mechi ya mwisho kukutana, walitoa sare. Je leo hii nani kuondoka na ushindi pale Civitas Metropolitano huku ODDS zao zikiwa ni 2.37 kwa 3.15. Tengeneza mkeka hapa.

Hans Flick na  FC Barcelona watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Benfica ambao wamepitwa pointi 5 pekee huku mtanange wa mwisho kukutana timu hizi mbili ilikuwa msimu wa 2021/22 na Barca aliambulia pointi 2 pekee. Je leo hii nani kuondoka kifua mbele?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 2.37 kwa 3.15.

Kwa upande wa Bologna kutoka Italia itakiwasha dhidi ya Borussia Dortmund ambao wapo nafasi ya 9 huku kwa wenyeji wao wana hali mbaya hadi sasa wakiwa na pointi 2 pekee. Wakali wa ubashiri Meridianbet, wanampa BVB nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.15 kwa 3.40. Beti hapa.

SOMA NA HII  HAKIKISHA MKEKA WAKO UNASOMA ODDS HIZI ZA KIBABE KUTOKA MERIDIANBET...