Meridianbet inawatangazia watanzania wote wenye kiu ya burudani na ushindi kuwa bado kuna nafasi ya kushiriki kwenye promosheni kali ya Aviator – Zungusha Ushinde PS5, inayofikia ukingoni kesho.
Kwa wale ambao bado hawajapanda kwenye ndege ya ushindi, huu ndio wakati wa kupaa! Mchezo wa Aviator unakupa nafasi ya kupanda juu kwenye leaderboard na kujinyakulia zawadi ya ndoto — PlayStation 5 mpya, orijino kabisa.
Jinsi Ya Kuweka Jina Lako Kwenye Historia Ya Ushindi:
🛫 Ingia kwenye akaunti yako ya Meridianbet au jisajili bure
🛫 Cheza Aviator kadri uwezavyo
🛫 Fuatilia pointi zako kwenye leaderboard
🏆 Mshindi wa juu zaidi anapewa zawadi ya PS5
Promo hii imekuwa ya aina yake, ikivuta wachezaji kutoka kila kona ya nchi, na sasa muda umebaki kidogo. Usikubali kuhadithiwa – kuwa sehemu ya ushindi huu wa kihistoria.