Home Meridianbet RATIBA LIGI KUU ENGLAND 2025/26 YATANGAZWA: KULETA FURSA MPYA KWA WABASHIRI WA...

RATIBA LIGI KUU ENGLAND 2025/26 YATANGAZWA: KULETA FURSA MPYA KWA WABASHIRI WA MERIDIANBET…

Meridianbet

Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa msimu wa 2025/26 imetangazwa rasmi leo, Juni 18 saa 9:00 asubuhi kwa saa za Uingereza, ikileta matarajio mapya kwa mashabiki wa soka duniani na hasa kwa wale wabashiri wanaotumia Meridianbet, kampuni namba moja inayoaminika zaidi kwa michezo ya kubashiri.

Msimu huu mpya wa EPL utaanza rasmi Agosti 15, 2025, na kumalizika Mei 24, 2026, ukiwa na jumla ya mechi 380 zitakazochezwa kwa jumla ya raundi 38.

Mechi ya Ufunguzi itakua siku ya Ijumaa, Agosti 15, ambapo mabingwa watetezi Liverpool watafungua msimu dhidi ya Bournemouth. Wikiendi hiyo itaendelea na michezo ya raundi ya kwanza tarehe 16 na 17 Agosti, ikiwemo pambano linalotajwa kuwa la mapema la msimu, Manchester United dhidi ya Arsenal, litakalovuta hisia za mashabiki na wabashiri kwa kiwango kikubwa.

Katika mechi zingine za raundi ya kwanza, Manchester City wataanza kampeni yao ugenini dhidi ya Wolves, huku Aston Villa wakiwakaribisha Newcastle kwenye dimba la Villa Park, mechi ambazo si tu za kuvutia kwa mashabiki, bali pia fursa ya ushindi kwa wanaotumia Meridianbet kwa bashiri zao. Lakini pia Brighton atacheza dhidi ya Fulham, Nottingham Forest dhidi ya Brentford, Sunderland waliopanda daraja watakua wenyeji wa West Ham, huku mabingwa wa Europa, Tottenham wakicheza dhidi ya Burnley.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Miongoni mwa mechi zinazosubiriwa kwa hamu kubwa msimu huu ni pamoja na Derby ya Manchester itakayopigwa Septemba 13, pamoja na North London Derby kati ya Arsenal vs Tottenham, mwishoni mwa Novemba. Hizi ni mechi za hadhi kubwa ambazo mara nyingi uwa na pesa kubwa kwa wanaozibashiria, hivyo wale wabashiri wanaotumia Meridianbet hii itakua ni fursa kubwa kwao.

Siku ya mwisho ya ligi, itakua Mei 24, 2026, na timu zote 20 zitashuka uwanjani kwa wakati mmoja. Kwa kawaida, raundi ya mwisho huamua bingwa wa ligi, timu zitakazoshuka daraja, na wale wanaofuzu kwa mashindano ya Ulaya, hivyo hii uwa ni siku ya fainali timu zote.

Ratiba kamili ya msimu inapatikana kupitia tovuti rasmi ya EPL, ingawa baadhi ya tarehe na muda wa mechi unaweza kubadilika kulingana na urushaji wa matangazo ya moja kwa moja ya runinga.

Kwa namna timu zinavyofanya maandalizi kuelekea msimu huu, unamuona Liverpool akiutetea Ubingwa wake au Arsenal na Manchester City watakuja kwa kasi mpya? Ingawa ligi ya Uingereza haiaminiki kwani tunaweza shuhudia tulichokiona msimu wa 2016 kwa kuibuka timu tusiyoidhania.

 

SOMA NA HII  ODDS ZA USIKU WA ULAYA LEO HII ZIMELALA KWA TIMU HIZI HAPA...