Home Meridianbet PROMOSHENI YA ERA OF 1000S KUKUTAJIRISHA SASA ….

PROMOSHENI YA ERA OF 1000S KUKUTAJIRISHA SASA ….

Meridianbet

Mashindano ya Era of 1000s si tu mashindano ya kawaida bali ni mashindano ambayo yamekuja kwaajili ya kugeuza maisha yako wewe mteja wa Meridianbet. Utageuzaje maisha yako?. Ni kwa kucheza michezo mbalimbali ambayo inapatikana kwenye promosheni hii kwa dau lako ulipendalo pekee.

Promosheni hii ya ERA OF 1000s imeanza jana na itaisha tarehe 29 mwezi Juni ambapo itakuwa ni ya siku 4 pekee ambayo itakuwa na jumla ya shilingi Bilioni tatu ambayo itagawanywa kwenye michezo maarufu ya safu 1000. Mchezaji atatakiwa kuzungusha mizunguko kwenye michezo maalumu ambayo atakuwa anacheza na ambayo ipo kwenye promosheni hii.

Wakati ukiwa unajiuliza wapi unaweza ukakusanya pesa kwa haraka basi jibu ni moja tuu ambalo ni hapahapa kwa wakali wa ubashiri. Mashindano haya ya ERA OF 1000s yamekuja kwaajili ya kufufua matumaini yako ambayo yaliwa yamepotea kama kijana . Geuza ndoto zako kuwa kweli hapa.

Vilevile Meridianbet inakuambia kuwa kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Michezo inayoshiriki ni kama vile, Wisdom of Athena 1000, Sweet Bonanza 1000, Sugar Rush 1000, Gates of Olympus 1000, Starlights Princess 1000, Lucky Tiger 1000, pamoja na Big Bass Bonanza 1000. Hivyo cheza michezo hii sasa na uweze kuibuka mshindi wa mpunga mrefu huo sasa.

Meridianbet inakwambia hivi ndani ya promosheni hii unaweza kushinda hadi mara 10000 ya dau lako ambalo utakuwa umeweka, huku zawadi 30,000 zikiwa zinasubiriwa kwa hamu kabisa.

NB: Kiasi chochote kile cha dau kinaruhusiwa kuwekwa kwenye mashindano haya, hivyo ni wewe tuu uamue utaweak dau la shilingi ngapi.

JINSI YA KUSHIRIKI

1: Weka dau: Cheza angalau mzunguko mmoja wa pesa halisi kwa dau lolote katika mchezo wowote unaoshiriki.

2: Jinsi ya kushinda: Zawadi hutolewa kwa nasibu kupitia mzunguko wowote unaochezwa kwa dau linalostahiki. Kila dau linaweza kushinda zawadi moja tu kwa wakati mmoja.

3: Unachoweza kushinda: Unaweza kushinda hadi mara 10000 ya dau lako, Dau la juu zaidi kwaajili ya malipo.

MASHARTI YA JUMLA YA PROMOSHENI

1: Promosheni hii ya Enzi ya 1000 kwa siku 4 pekee kutoka jana tarehe 26 Juni mpaka 29 Juni huku waendeshaji wa Promo hii Pragmatic Play itatoa zawadi mbalimbali.

2: Ili kustahiki zawadi, lazima ucheze kwa pesa halisi kwenye mchezo unaoshiriki kwa dau lolote .

3: Unaweza kushinda zawadi mara 2 katika kipindi chote cha Enzi ya 1000 Prize Drop

4: Zawadi zitatolewa kwa nasibu kupitia dau linalostahiki, na kila mzunguko unaweza kushinda zawadi moja tuu kwa wakati mmoja.

5: Zawadi hulipwa kama pesa taslimu, bila masharti yoyote ya mzunguko au mahitaji ya kujirudia kabla ya kutoa.

6: Endapo utanunua kipengele cha bonasi ndani ya mchezo, zawadi yako italipwa kabla hujaingia kwenye bonasi hiyo kwa thamani ya maxbet.

Masharti yapo mengi ila haya ndio ya kuzingatia zaidi ili usije ukafungiwa au ukajitoa  kwenye promosheni hii. Ingia Meridianbet uanze safai yako mapema kabisa ya kuwa mshindi Juni hii.

SOMA NA HII  CHEZA BLACK GOLD KASINO NDANI YA MERIDIANBET....