Nusu Fainali kali nyingine kupigwa leo majira ya saa 5:00 usiku ambapo Real Madrid chini ya Alonso atakiwasha dhidi ya Borussia Dortmund ambaye yupo chini ya kocha mkuu Kovac. Bashiri mechi hii na GG&3+ ushinde mkwanja mara mbili zaidi.
Promosheni hii imekuja maalumu kabisa kwa wateja wake wa Meridianbet ambao wanatumia Kampuni hiyo kufanya ubashiri, lakini safari hii wamepewa ruksa ya kubashiri kwa GG&3+ kwenye mechi kali ya Nusu Fainali ya Kombe la Dunia la vilabu ili washinde mara mbili zaidi.
Timu mbili kutoka nchi tofauti yaani namaanisha Real Madrid kutoka Hispania na Borussia Dortmund kutoka Ujerumani zinataka tiketi ya kwenda Nusu Fainali ya michuani hii ambayo ina mshiko mnono kabisa. Nani kwenda hatua inayofuata?. Bashiri hapa.
Michezo ya Kasino ya Mtandaoni inakupatia mkwanja leo, Cheza Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
SHERIA ZA PROMOSHENI HII
- Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
- Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 05 mwezi Julai 2025 hadi saa 5:00 usiku ambapo mechi itaanza
- Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Real Madrid vs Borussia Dortmund kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,
BONASI YA 1
Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi za Real Madrid vs Borussia Dortmund kwa chaguo la GG&3+ atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).
Bonasi hiyo itakuwa na masharti kama ifuatavyo, kwenye mechi ya Real Madrid vs Borussia Dortmund lazima uwe na timu zote zifunge magoli 4+. Hii ndio bonasi ya kwanza ambayo mchezaji ataipata akibashiri mechi hii ya Kombe la Dunia ngazi za vilabu kwa kufuata masharti.
BONASI YA 2
Kama mchezo wa Real Madrid vs Borussia Dortmund ukimalizika 0-0
- Mchezaji atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000) ambapo sharti la bonasi hii ni kuwa timu hizo lazima ziwe zimetoka 0-0.
- Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Bashiri sasa.