Meridianbet imefungua rasmi msimu mpya wa Playson Short Races, tukio la kusisimua kwa wapenzi wa michezo na kubashiri hapa Tanzania. Kuanzia saa 10:00 usiku hadi saa 02:50 usiku, wachezaji wana nafasi ya kushiriki katika mashindano ya kasi 10 kila siku, yanayowapa fursa ya kujikusanyia pointi na kuingia kwenye orodha ya washindi.
Huu ni zaidi ya mchezo wa bahati nasibu kwani kila mizunguko unayoicheza inakuongezea pointi ambazo hukuweka karibu na zawadi kubwa yenye thamani ya hadi Shilingi Bilioni 6. Fursa hii ipo wazi kwa wote kwani dau la kuanza ni dogo sana, Tsh 600 tu, na hivyo kumfanya mtu yeyote aweze kushiriki bila kizuizi chochote.
Playson Short Races imetengenezwa kwa njia ambayo hata mchezaji mpya kwenye michezo ya kasino mtandaoni anaweza kushiriki kwa urahisi na kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda. Zaidi ya hayo, Meridianbet inahakikisha malipo ya ushindi yanafanyika haraka, ndani ya siku tatu tu baada ya kumalizika kwa mashindano, na pesa hizo hutumwa moja kwa moja kwenye akaunti yako bila usumbufu.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Mashindano haya yalianza rasmi tarehe 9 Agosti na yataendelea hadi mwisho wa mwezi, yakilenga wachezaji wanaocheza kwa pesa halisi pekee. Hivyo basi, usikose fursa hii adhimu ya kushindana na wachezaji wengine katika mbio hizi za kasi na kuweza kujishindia zawadi kubwa.
Kwa kuwa sehemu ya burudani na ushindi mkubwa nchini Tanzania, fungua akaunti yako kupitia tovuti au programu ya Meridianbet leo, anza kucheza na dau la Tsh 600 tu, na jiunge na wachezaji wengi katika mbio hizi za Playson Short Races. Huu ni mchezo unaojumuisha kasi, msisimko, na mafanikio makubwa kwa kila mshiriki.