Home Meridianbet UJIO WA MERIDIANBET MWENGE WAFURAHIWA WA MAMA NTILIE…

UJIO WA MERIDIANBET MWENGE WAFURAHIWA WA MAMA NTILIE…

Meridianbet

Katika juhudi za kuzidisha kurudisha kwa jamii, kampuni ya ubashiri Tanzania leo hii waliamua kurejesha kidogo ambacho wanakipata kwa kuwatembelea Mama Ntilie ambao wanapatikana Mwenge na kuwapatia Aprons.

Kama ilivyo kawaida kwa binadamu yoyote yule hakuna ambaye anapenda kula chakula ambacho kimeendaliwa kwenye mazingira ambayo si safi na salama kabisa. Hivyo Aprons ni vazi muhimu sana kwa mpishi yoyote anayejali usafi wa mazingira wakati wa uandaaji wa chakula.

Jiji la Dar es salaam ni moja ya jiji ambalo lina heka heka nyingi sana licha ya kuwepo watu wengi pia kuna fursa nyingi sana na shughuli nyingi sana za kufanya hivyo katika eneo la Mwenge kina mama wengi wanajishughulisha na Mama Ntilie ukiachana na shughuli nyingine za kujipatia kipato.

Na kutokana na wingi wa mama Ntilie wa eneo hilo, Meridianbet iliamua kuwagusa wafanyabiashara wa eneo hilo kwa kuwapatia Aprons ambazo zitawasiadia pindi wapikapo vyakula. Kwa mama Ntilie huwezi kukosa ugali, wali, pilau, chapati na vingine vingi.

Wateje wengi hupenda kuandaliwa chakula na mtu ambaye yupo safi akiwa na Aprons na kofia yake husaidia maradufu kwani huzuia nywele zisidondokee kwenye chakula pia.

Vilevile leo hii michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli  inakupatia mzigo mkubwa hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Meridianbet walichagua kwenda kutoa Aprons hizo maeneo ya Mwenge?. Ni kwasababu eneo hilo limezungukwa na wafanyabiashara wengi sana na ni katikati ya mji hivyo Mama Ntilie wanakuwa wengi sehemu hiyo na hivyo uhitaji wa wao kutaka nguo hizo za kupikia unakuwa mkubwa sana.

Hii sio mara ya kwanza Meridianbet kutoa Aprons kwa Mama Ntilie, bali ni mara nyingine kwa sehemu nyingine. Aprons hizo si tu kwamba ni vazi la kazi, bali pia ni alama ya heshima, usafi, na uthubutu wa wanawake wanaochochea uchumi wa chini kila siku kwa kujituma.

Afisa Mahusiano wa Meridianbet Nancy Ingram alisema kuwa, “Aprons hizo zitawasaidia Mama Ntilie kuandaa chakula katika maizngira yaliyosafi kabisa na hasa kuwavutia wateja ambao wanakuja kula chakula kwani wankuwa wanaamini kuwa chakula hicho kimeandaliwa kwenye mazingira safi, hivyo wazitunze”

Kina mama wa eneo hilo baada ya kupokea Aprons hizo waliishukuru sana Meridianbet kwa msaada ambao wametoa na kuahidi kuwa wataandaa chakula kwenye mazingira yaliyo safi, kusema kuwa msaada huo pia unatoa hamasa mpya katika kufanya kazi hiyo.

Pia Meridianbet inakusisitiza uendelee kufanya ubashiri kwneye mechi ambazo zinaendelea ili uweze kupiga mkwanja mzito kuelekea urejeo wa ligi kuu mbalimbali msimu huu wa 2025/26. Jisajili hapa.

SOMA NA HII  ODDS ZA KULALA MASIKINI KUAMKA TAJIRI HIZI HAPA....WEKA MKEKA WAKO NA MERIDIANBET...