Home Meridianbet SHINDA KIKUBWA NA MERIDIANBET, MECHI KALI KUPIGWA LEO…

SHINDA KIKUBWA NA MERIDIANBET, MECHI KALI KUPIGWA LEO…

Meridianbet

Habari njema kwa mashabiki wa soka, viwanja mbalimbali barani Ulaya vitawaka moto huku mechi kali zikitarajiwa kuchezwa katika ligi kuu tofauti. Kwa mashabiki wa kubashiri, Meridianbet imejiandaa kikamilifu kukupa machaguo ya kipekee na odds za kuvutia kwa kila pambano.

Serie A itafunguliwa kwa mechi mbili za kuvutia. Lazio watakuwa nyumbani wakikabiliana na Torino, huku Parma wakipambana na Lecce katika mchuano unaotarajiwa kuwa wa ushindani mkubwa. Meridianbet inatoa nafasi ya kubashiri matokeo ya mapema, idadi ya magoli, mfungaji wa kwanza, na machaguo mengine mengi.

Bundesliga nayo haijabaki nyuma. Bayer Leverkusen watachuana na Union Berlin, Borussia Dortmund wakipambana na RB Leipzig, na Werder Bremen wakikaribisha St. Pauli. Mnamo saa 19:30, Bundesliga itaendelea kwa Eintracht Frankfurt kuwakabili mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Bayern Munich. Hii ni fursa ya kipekee kwa wapenzi wa soka la Kijerumani kufuatilia mechi hizi kupitia Meridianbet na kuchukua nafasi ya kubashiri kwa ufanisi.

Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi nyingine nyingi za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#

Ligi kuu England inakuja ikiwa na mechi tatu za moto. Arsenal watawakaribisha West Ham United, Manchester United wakipambana na Sunderland, huku Chelsea wakijiandaa kwa mtanange mkali dhidi ya Liverpool. Meridianbet imeweka odds za kiushindani kwa mechi hizi, ikiwemo machaguo ya live betting kwa wanaopenda kubashiri wakati mechi ikiendelea.

Kule nchini Ufaransa ndani ya Ligue 1, itaanza mechi ya Metz wakikabiliana na Marseille. Kwa mashabiki wa kubeti, Meridianbet inakupa nafasi ya kubashiri matokeo ya kipindi cha kwanza na cha pili kwa uhakika, huku machaguo mengine zaidi ya 1000 yakiwa yapo kwa ajili yako.

Vilevile, Inter Milan kwenye ligi kuu ya Seria A wataingia dimbani dhidi ya Cremonese katika mechi itakayochezwa mida ya jioni. Meridianbet inatoa machaguo ya kubashiri idadi ya kona, kadi za njano, na mengineyo kwa odds kubwa na za kipekee.

Saa 20:00 ni Brest dhidi ya Nantes. Hii itakua ni mechi ya pili ya Ligue 1 kwa jioni ya leo na inatarajiwa kuwa yenye ushindani wa hali ya juu kutokana na ubora wa timu zote mbili. Kwa wapenzi wa kubashiri, hii ni mechi ya pesa kwa kuweka jamvi lako pale meridianbet.

Usiku wa leo utahitimishwa na mechi ya Auxerre dhidi ya Lens. Huu ni mchezo wa timu namba saba dhidi ya timu namba 14 kwenye msimamo wa ligue 1. Kwa wale wanaopenda kubashiri mechi za usiku, Meridianbet inakupa nafasi ya mwisho ya kuchukua ushindi wa wikiendi

SOMA NA HII  RUBY PLAY KUJA NA USHINDI KABAMBE NDANI YA MERIDIANBET....