Home Meridianbet MERIDIANBET YATOA ODDS ZA KUVUTIA KWA BINGWA WA EPL…..

MERIDIANBET YATOA ODDS ZA KUVUTIA KWA BINGWA WA EPL…..

Meridianbet

Muda wa kuvuna pesa umewadia ndani ya Meridianbet. Sasa unapewa nafasi ya kusuka jamvi lako kwa timu ambazo zina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu pale nchini Uingereza. Odds kubwa sana zimetolewa na meridianbet kwenye eneo hili kuhakikisha wabashiri wanajipatia faida ya kutosha.

Arsenal FC, baada ya kumaliza nafasi ya pili msimu uliopita, wameanza msimu huu kwa kasi ya kuridhisha wakionyesha kulihitaji taji hilo kubwa nchini Uingereza. Wakiwa na ushindi wa mechi 4 kati ya 6, sare moja na kipigo kimoja, pamoja na magoli 12 kufunga na 3 tu kuruhusu, Meridianbet imewapa Odd ya 2.20 kutwaa ubingwa.

Liverpool FC, bingwa mtetezi wa EPL, yupo kileleni kwa sasa baada ya kushinda mechi 5 na kupoteza moja. Ingawa si chaguo la juu kabisa kwa Meridianbet, bado wamepewa Odd ya 2.75, ikiashiria imani kwa uwezo wake wa kuendeleza rekodi ya ushindi.

Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.

Manchester City hawajaanza kwa kasi yao iliyozoeleka kwa misimu ya nyuma. Vipigo viwili na sare moja vimewaweka nafasi ya saba, lakini historia yao ya kutawala EPL kwa misimu mitatu mfululizo bado inawapa heshima. Meridianbet wamewapa Odd ya 6.05, Odd kubwa inayoweza kugeuka ushindi mnono kwa wanaoamini Guardiola bado ana mbinu za kutwaa taji.

Chelsea FC wameingia msimu huu wakiwa na mataji ya kimataifa, lakini ndani ya EPL bado hawajapata mwelekeo mzuri. Mechi 6, ushindi 2, sare 2, vipigo 2. Licha ya mwenendo huu walioanza nao lakini Meridianbet wamewapa Odd ya 35, fursa ya kipekee kwa mashabiki wa The Blues na wabashiri jasiri.

Tottenham Hotspurs, mabingwa wa UEFA Europa League, wameanza msimu kwa ushindi wa mechi 3, sare 2 na kipigo 1. Ushindi wao dhidi ya Man City umeongeza matumaini, na Meridianbet wamewapa Odd ya 52. Kwa wanaoamini kwenye maajabu ya Spurs, huu ni wakati wa kuweka dau la kishindo.

SOMA NA HII  MERIDIANBET INATOA ODDS KUBWA NA MACHAGUO MENGI LEO..