Home Meridianbet CAF QUALIFIERS KUNOGA, MERIDIANBET YAWAPA MASHABIKI SABABU YA KUKAA MKAO WA KULA

CAF QUALIFIERS KUNOGA, MERIDIANBET YAWAPA MASHABIKI SABABU YA KUKAA MKAO WA KULA

Meridianbet

Mashabiki wa soka barani Afrika wako kwenye hekaheka. Mechi za kufuzu Kombe la Dunia zimechukua kasi ya ajabu, kila timu ikipambana kufa au kupona kusaka tiketi ya kuelekea kwenye fainali za kombe la dunia. Lakini sasa si uwanjani tu kwenye joto, Meridianbet nao wamepiga kambi na kugeuza ubashiri kuwa burudani ya kweli, wakipiga odds tamu zinazolipa mara kibao.

Leo ni moto kila kona, Burkina Faso wanakipiga na Ethiopia, mechi ambayo kila mtu anasema ni ngumu kuliko mawe. Waburkinabe wanaingia na ubabe wao wa kimataifa, lakini Ethiopia hawajaenda kupiga misele. Wameapa kuleta mshtuko na kuvuruga hesabu za kundi. Kwa mabashiri wa Meridianbet, hii ni mechi ya kusuka mkeka kwa akili na odds ziko juu.

Djibouti dhidi ya Sierra Leone nayo ni kama vita ya kuokoa heshima. Djibouti wanataka ushindi wa kwanza, lakini Sierra Leone wamejipanga kisawasawa. Ukiwa na Meridianbet, unaweza kuweka bashiri yako hata ukiwa bila intaneti kwa kupiga tu *149*10#

Usisahau kasino ya mtandaoni, chukua nafasi kwenye michezo kama Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli. Ingia sasa na ongeza nafasi zako za kushinda. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Na usiku wa leo, macho yote yako Cairo. Misri dhidi ya Guinea-Bissau. Farao wakiwa nyumbani mbele ya mashabiki wao wa moto, wanataka kuonyesha nani bosi wa Afrika. Japo tayari wamefuzu lakini bado wanataka kutokuchafua rekodi yao ya kutokupoteza mchezo huu. Odds za Meridianbet zimelipuka kwenye mechi hii.

Pambano la mapema lakini lenye mvuto wa kipekee ni wa Zambia dhidi ya Niger. Chipolopolo wanahitaji ushindi wa lazima, huku Niger wakija na morali ya kutokukubali kunyanyaswa. Meridianbet imeweka odds za kufa mtu kwenye mechi hii, ni wewe kuamua unamuamini nani kukupa hela.

Saa 1 usiku, Chad wanapambana na Jamhuri ya Afrika ya Kati, ni derbi ya majirani yenye ladha ya kipekee na soka safi. Mashabiki wanatarajia mchezo wa nguvu hadi dakika ya mwisho. Meridianbet wametandika odds murua, unachagua upande wako, wanakupa nafasi ya kushinda papo hapo.

Saa 4 usiku, mechi ya visasi itakua ya Ghana dhidi ya Comoros. Black Stars wanasema hapana baada ya kufungwa mara ya mwisho na Comoros. Lakini hawa vijana wa kisiwani si wa mchezo, wanajua namna ya kuumiza wapinzani wakubwa. Kwa wapenzi wa Meridianbet, huu ndio mchezo wa wewe kuvuna pesa zako papo

hapo.
Na kufunga pazia la usiku, Mali atacheza dhidi ya Madagascar. Hapa ni moto kwa moto. Mali wana silaha zote, lakini Madagascar hawana hofu. Mashabiki wanategemea mechi ya magoli kibao, na Meridianbet wameshusha odds zilizoboostiwa kukupa ushindi wa hali ya juu.

SOMA NA HII  IBUKA NA USHINDI MPAKA MARA 500 YA DAU LAKO KUPITIA SLOT HII YA KIJANJA NDANI YA MERIDIANBET...