Home news USIKU WA SOKA ULAYA, MERIDIANBET YAKUWEKEA ODDS ZA KIFALME…

USIKU WA SOKA ULAYA, MERIDIANBET YAKUWEKEA ODDS ZA KIFALME…

Meridianbet

Hii ni kubwa kwa mashabiki wa soka kote Duniani. Leo ni siku ya kuchangamka na kuibuka tajiri. Mechi nne kali kutoka ligi maarufu barani Ulaya zinachezwa usiku huu, na Meridianbet imeweka odds za kuvutia kwa kila dau lako. Hii si tu burudani, ni fursa ya kubadilisha bashiri kuwa ushindi halisi.

Ndani ya Ligue 1, wenyeji PSG wanapambana na Strasbourg katika mechi ya kutafuta pointi muhimu. Dembele, Desire Doue na wengine wengi wanaingia uwanjani wakiwa na kasi ya moto, na Meridianbet inakupa nafasi ya kubashiri mfungaji wa kwanza, idadi ya magoli, au hata dakika ya goli la kwanza. Odds zimepangwa kwa faida yako mbashiri.

Kwingineko Ujerumani, ni vita ya mbinu kati ya Union Berlin na Gladbach. Timu zote zinahitaji ushindi, na Meridianbet imeweka odds kubwa na chaguo pana kutoka matokeo ya kipindi cha kwanza hadi jumla ya kona na kadi. Bashiri kwa ujasiri, shinda kwa uhakika.

Mbali na michezo ya ligi, Meridianbet pia inakuletea michezo ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi

La Liga inatupa mechi ya ushindani mkubwa kati ya Real Oviedo na Espanyol. Meridianbet inakupa odds tamu kwa kila dau  ushindi wa timu yoyote, idadi ya magoli, hata muda wa goli la mwisho. Hii ni mechi ya kutengeneza faida.

England Championship haitaki kupitwa, Middlesbrough wanakutana na Ipswich Town wote wakiwa wanapambania nafasi ya kupanda daraja. Bashiri machaguo mbalimbali kama vile timu ya kwanza kufunga, au matokeo ya mwisho. Meridianbet imeweka odds za ushindi wa haraka.

Usikubali kupitwa na usiku huu wa soka. Tembelea Meridianbet, chagua mechi yako, weka dau na usikilizie muda wa kuwa milionea kutoka meridianbet.

SOMA NA HII  IHEFU NA SIKU 60 ZA MACHUNGU