Home Meridianbet PIGA PESA NA EUROPA LEAGUE MERIDIANBET….

PIGA PESA NA EUROPA LEAGUE MERIDIANBET….

Meridianbet

Mzigo mkubwa upo kwa wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo wewe kama mteja una nafasi ya kuondoka na kitita cha maana kabisa. Aston Villa, Nice, Fenerbahce na wengine wapo uwanjani kuhakikisha hawakuachi watupu.

Vilevile Celta Vigo atamenyana dhidi ya OGC Nice kutoka kule Ufaransa ambao mechi iliyopita, alipigika  huku mwenyeji wake yeye akiondoka na ushindi mnono. Pale Meridianbet mwenyeji ndiye anayepewa nafasi ya kushinda. Je wewe beti yako unaiweka wapi?. Suka jamvi hapa.

Malmo ataumana dhidi ya Dinamo Zagreb huku tofauti ya pointi kati yao ni 6 pekee kwani mwenyeji alipoteza mechi zote mbili. Mgeni ndiye kinara wa ligi kwani ameshinda mechi zake zote mbili za kwanza. Je mwenyeji atakubali kupoteza mechi hii ya tatu tena au mgeni ataendeleza ubabe?. Jisajili hapa.

Pia Nottingham Forest atakipiga dhidi ya FC Porto kutoka kule Ureno, huku mwenyeji yeye akiwa na pointi moja pekee. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo huku Odds za mechi hii zikiwa kubwa kabisa. Piga pesa ya maana leo na uanze safari yako ya ushindi siku ya leo.

Pesa ipo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Piga pesa mechi ya Brann dhidi ya Rangers ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee kwani mgeni alipoteza mechi zake zote mbili, hivyo ushindi kwenye mechi hii muhimu sana. Mwenyeji pia anataka kuonesha ubabe wake akiwa nyumbani. Je wewe leo hii beti yako unaiweka wpai kwenye mechi hii?. Bashiri hapa.

Kutoka kule Uturuki, Fenerbahce watakuwa kibaruani kumenyana vijali dhidi ya VFB Stuttgart ya kule Ujerumani. Timu hizi hazijawhai kukutana kwenye mashindnao yoyote hivyo hii ndio mara ya kwanza kwani kila timu inataka kuonesha ubabe kwa mwingine. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Suka jamvi hapa.

Genk atakuwa uso kwa uso dhidi ya Real Betis ya Hispania ambao ndio wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda pale Meridianbet. Kila timu inataka kushinda mechi hii hasa mwenyeji ili kujiweka kwenye nafasi nzuri kabisa. Hii ni mechi ya vita kali kabisa kutoka nchi mbalimbali. Beti sasa.

Kwa upande wa Aston Villa kutoka Uingereza wao watasafiri hadi kule Uholanzi kumenyana dhidi ya Go Ahead Eagles ambao mpaka sasa wamekusanya pointi 10 pekee. Villa chini ya kocha mkuu Unai Emiry kwenye ligi wamekusanya pointi 9 hadi sasa. Huku ni kwenye Europa, je nani kushinda. Tengeneza jamvi hapa.

Lyon naye atamenyana dhidi ya Basel kutoka Uswizi ambapo mpaka sasa ana pointi 3 pekee huku mwenyeji wake akiwa na pointi 6. Wewe ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kutengeneza pesa endapo utaweka mechi hii kwenye mkeka wako. Nani kukupatia ushindi?, Beti hapa.

SOMA NA HII  KAMATA HILI....HUU NDIO UTAJIRI ULIOJIFICHA KWENYE KOMBE LA DUNIA...NI PESA MWANZO MWISHO..