Home Meridianbet PAA JUU NA SUPER HELI, SAFARI YA USHINDI INAYOLETA SIMU MPYA MKONONI…..

PAA JUU NA SUPER HELI, SAFARI YA USHINDI INAYOLETA SIMU MPYA MKONONI…..

Meridianbet

Wiki ya mwisho ya promosheni kubwa ya Super Heli hatimaye imewasili, na Meridianbet imehakikisha burudani inapanda hadi juu zaidi kuliko hapo awali. Kama kinara wa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni nchini Tanzania, Meridianbet inakuja na zawadi zinazochochea ari ya ushindi, Samsung A26 mpya kabisa, simu yenye uwezo wa kisasa kwa washindi wa promosheni hii ya kipekee.

Promosheni ya Super Heli imeweka historia kwa ubunifu wake. Kila Jumatatu ndani ya mwezi huu, mshindi mmoja anatangazwa na kuondoka na Samsung A26. Ni kama safari ya angani yenye vituo vinne vya ushindi, na kila kituo kinakupa nafasi ya kuwa nyota wa wiki hiyo. Unachotakiwa kufanya? Cheza Super Heli kwa ujasiri na kuifuata helikopta yako ikipaa juu kwa juu.

Ndani ya mchezo, kila sekunde inahesabika. Helikopta inavyoinuka, odds zinapanda na dau lako linageuka kuwa ushindi mkubwa huku ushindi wako ukitegemea wepesi wa wewe kutoa pesa yako kabla helikopta haijalipuka. Ni mchezo unaochochea kasi, akili ya haraka, na ubunifu wa mchezaji. Kwa kucheza mara nyingi zaidi, unajiweka kwenye nafasi bora ya kushinda simu ya Samsung A26.

Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Kwa wachezaji wapya na wale waliobobea, milango yote iko wazi. Fungua akaunti yako Meridianbet, ingia kwenye mchezo wa Super Heli, na uanze kupaa mara moja. Kumbuka, kila mchezo unaongeza nafasi zako. Kila safari ya helikopta ni hatua kuelekea ushindi.

Promosheni hii inakupa mchanganyiko wa mchezo mzuri, zawadi kubwa, na nafasi halisi za ushindi. Wakati wachezaji wengine wakiruka juu na Super Heli zao, usiachwe wewe kubaki ardhini. Tembelea Meridianbet.co.tz leo, cheza Super Heli, na ujipatie nafasi ya kuondoka na Samsung A26 mpya kabisa.

 

SOMA NA HII  MGAO WA TSH 2,500,000/= UNAKUSUBIRI MERIDIANBET KASINO.....