Home Michezo Meridianbet SWEET HOLIDAY CHASE KUWA MCHAKATO WA KUSAKA USHINDI MSIMU WA SIKUKUU…

SWEET HOLIDAY CHASE KUWA MCHAKATO WA KUSAKA USHINDI MSIMU WA SIKUKUU…

81
0
Meridianbet

Meridianbet imeifungua pazia ya msimu huu wa sikukuu kwa kishindo kupitia Sweet Holiday Chase, promosheni ambayo inaleta hisia za mchezo wa kasi, burudani ya kipekee na zawadi zinazojirusha kama fataki za mwaka mpya. Kwa mgao wa  kushangaza wa TSh 14,500,000,000/- kila mzunguko wa gurudumu la kasino unageuka kuwa tukio la kusisimua litakalokufanya uburudike zaidi.

Katika Sweet Holiday Chase, kila mchezaji ana nafasi ya kufanikiwa bila vikwazo, zawadi 125,000 hutolewa kila wiki, na kila mzunguko unakupa hisia zile zile za kuelekea ushindi mkubwa. Hakuna bet kubwa wala ndogo kwenye promosheni hii, dau lolote linakupa nafasi. Huu ni mchezo ulioandaliwa kwa mtu yeyote anayetafuta shangwe zinazoendana na msimu.

Utajiri wako upo kwenye michezo ya Kasino siku ya leo ingia na ucheze Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.

Kujiunga ni rahisi kuliko kufanya jambo lolote lile. Ni kucheza tu mzunguko japo mmoja wa pesa halisi kwenye mchezo uliopo kwenye orodha ya ofa, na papo hapo unakuwa rasmi ndani ya mbio hizi tamu. Hakuna kujaza fomu, hakuna hatua za ziada, ni kuingia na kufurahia msisimko.

Kinachoifanya Sweet Holiday Chase iwe ya utofauti na ya kuvutia zaidi ni utaratibu wake wa utoaji zawadi. Kila mzunguko unaoucheza una nafasi ya kutoa zawadi kwa bahati nasibu, na wakati mwingine ushindi unakukumba ghafla bila wewe kutarajia.

Na cha mwisho kabisa ni zawadi zenyewe. Kuanzia mizunguko ya bure hadi malipo yanayofikia mpaka mara 500 ya dau lako, promosheni hii imejaa matokeo yanayoweza kubadilisha mchezo wako kipindi hiki cha sikukuu. Ukiingia Sweet Holiday Chase, unajiingiza kwenye dunia ya burudani, matukio na ushindi.