Home Habari za Simba MILIKI MKWANJA WA MAANA NA MERIDIANBET

MILIKI MKWANJA WA MAANA NA MERIDIANBET

37
0

Ni siku nyingine ya kibabe kabisa na tulivu ambayo imekuja kwaajili ya kubadili maisha yako. Timu kibao zipo uwanjani kuwania pointi 3 huku wewe ukiwania mkwanja wa maana. Ingia kwenye jamvi akaunti yako na ubeti sasa.

Michuano ya AFCON barani Afrika hatua ya 16 bora inaendelea kwa mechi mbili ambapo Algeria atakipiga dhidi ya DR Congo ambapo mara ya mwisho kukutana kati yao ilikuwa kwenye mechi ya kirafiki 2019 na walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuondoka na ushindi pale Meridianbet?. Tandika jamvi hapa.

Mtanange mwingine ni huu wa Ivory Coast vs Burkina Faso ambapo timu zote zina nafasi ya kuondoka na ushindi na kusonga mbele kwenye michuano hii. Mechi hii inakupa nafasi ya kuondoka na mkwanja wa maana pale Meridianbet hivyo changamkia fursa hii na uondoke na mshiko leo leo. Tengeneza jamvi hapa.

Tusua pesa kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

EPL itaendelea kwa mechi moja ambapo West Ham United atakipiga dhidi ya Nottingham Forest ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee, huku mechi ya mwihso kukutana Wagonga Nyundo wa London waliondoka na ushindi. Odds kubwa zipo mechi hii. Bashiri hapa.

Kule Italia, SERIE A pia kuna mechi za pesa ambapo Pisa atakipiga dhidi ya Como 1907 ambao wamekuwa na mwenendo mzuri kabisa msimu huu. Mwenyeji yeye mpaka sasa anashika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Nafasi ya kushinda anayo mgeni pale Meridianbet. Jisajili hapa.

AS Roma naye atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya US Lecce ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 16 huku mgeni yeye akiwa nafasi ya 5. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 16 hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili, mgeni aliondoka na ushindi mnono. Bashiri sasa.

Kwa upande wa Bibi Kizee cha Turin, Juventus atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Sassuolo ambao wapo nafasi ya 4, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii leo hivyo ingia na ubashiri sasa.