Wakati mwingine, kubashiri kunachukua msisimko wa ajabu. Unapoweka tiketi yako ya Win&Go, unaweza kushinda au kushindwa, lakini sasa, Meridianbet wanakuonyesha kuwa hata hasara inaweza kuwa mwanzo wa furaha mpya. Mpango Lucky Loser unakuja kufanya kila tiketi kuwa fursa ya kipekee ya kushinda.
Ukikosa namba zote kwenye tiketi ya namba 6, Lucky Loser haikuachii tu maumivu. Badala yake, dau lako linazidishwa hadi mara 30. Meridianbet wanakwambia kwamba kila tiketi ni nafasi ya kushinda, na wanakuhakikishia kuwa hata pale ambapo umepoteza, bado unapata sababu ya kutabasamu.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Lucky Loser inaboresha uzoefu wako wa kubashiri kwa kufanya kila hatua iwe rahisi na wazi. Hakuna system tickets, tiketi za bonus, wala Golden Round zinazochanganya hesabu. Unajua kile unachopaswa kufanya, na unajua haswa kile unachoweza kushinda.
Tiketi yako inaposhindwa, inachukuliwa moja kwa moja kuwa tiketi ya Lucky Loser, ikionyesha alama ya clover icon kuthibitisha kuwa umeingia rasmi kwenye kundi la washindi. Hii inamaanisha kila tiketi unayoicheza ni mwanga mpya wa kushinda. Kwa Lucky Loser, kushindwa hakuwi mwisho bali ni fursa ya kuanza tena na kupata furaha zaidi.