Je unajua kuwa Meridianbet ndio baba lao kwenye kutoa ODDS KUBWA?. Kila mechi ambayo inapigwa inakuwa tayari ina machaguo zaidi ya 1000 pia. Tandika jamvi lako la uhakika hapa leo.
Tukianza na mechi za ligi kuu ya Saudi Arabia, SAUDI PROFESSIONAL kutakuwa na ligi pia ambapo Al Najma atakuwa mwenyeji wa Al Fateh ambao wapo nafasi ya 10 huku mwenyeji yeye yupo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 15. Je leo hii nani kuibuka mbabe?. Tandika jamvi hapa.
Pia Al Ittihad atakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya Al Ettifaq ambao kwasasa wapo nafasi ya 7 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 6. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 4 pekee. ODDS KUBWA za kibabe zipo hapa na Meridianbet. Tandika jamvi hapa.
Al Khaleej atamenyana dhidi ya Al Akhdoud ambapo mara ya mwisho kukutana, mgeni aliondoka na ushindi mnono. Leo hii mwenyeji anataka kulipa kisasi akiwa nyumbani. Je ataweza?. Meridianbet anakwambia kuwa ushindi upo wazi wazi leo?. Bashiri hapa leo.
Kusanya pesa kwenye michezo ya Kasino ya mtandaonikama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Helina mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tzau piga *149*10#kisha uanze safari yako ya ushindi.
Pia kule Ufaransa LIGUE 1 kuna mitanange miwili ambapo AS Monaco atakipiga dhidi ya Lorient ambapo mara ya mwisho kukutana mwenyeji alipoteza mechi hii. Hii ni mechi ya kisasi kwa mwenyeji kwani mechi ya mwisho walishindwa kupata matokeo. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ni hii ya PSG vs Lille ambapo tofauti yao hadi sasa ni 7 pekee. Ikumbukwe kuwa vijana wa Enrique wanashika nafasi ya 2 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi. Mechi ya mwisho kukutana hawa wawili walitoa sare. Je leo hii nani kupata ushindi?. Suka jamvi hapa.
LALIGA kule Hispania kutakuwa na mechi moja kali kati ya Espanyol Barcelona vs Girona mabapo mara ya mwisho kukutana hawa wawili, hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. ODDS KUBWAna machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri hapa.
Kule Ujerumani BUNDESLIGA pia inatarajiwa kuendelea Werder Bremen vsFrankfurtambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 8 pekee. Mwenyeji yupo nafasi ya 12 huku mgeni wake akiwa nafasi ya 7. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Tandika jamvi hapa.
SERIE A kule Italia kuna mechi kali pia ambapo Atalanta atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Pisa ambao wamepanda daraja msimu huu na wanashika nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi, huku mgeni yeye akiwa nafasi ya 7. ODDS KUBWA zipo mechi jii. Jisajili sasa.
CHAMPIONSHIP kule Uingereza itaendelea pia ambapo West Bromwich atamenyana dhidi ya Middlesbrough ambao wapo nafasi ya 2 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 18 kwenye ligi. Kila timu inahitaji ushindi kusogea kwenye nafasi ya juu. Beti hapa.