Alhamisi ya usiku wa leo tutashuhudia mchezo wa kufuzu WC 2026 kati ya Denmark dhidi North Mecadonia. Mchezo huu unaweza kukufanya ukawa Bingwa na Meridian
Usiku wa leo, dimba la Parken litawaka moto huku Denmark wakiwakaribisha North Macedonia katika mchezo wakufuzu Kombe la Dunia raund ya pili. Ni pambano linalobeba hisia za ushindani, historia na hamasa ya kufuzu, huku kila timu ikiwa na malengo makubwa ya kusonga mbele.
Kumbukumbu zinaonyesha kuwa mara ya mwisho mataifa haya mawili kukutana ilikuwa mwaka 2013 katika mchezo wa kirafiki, ambapoNorth Macedonia walitoa somo kali kwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 wakiwa nyumbani. Matokeo hayo bado yanatoa kivuli katika mchezo wa leo, yakiongeza ladha ya kisasi kwaDenmark ambao watakuwa na hamu ya kufuta historia hiyo.
Katika safari ya kufuzuKombe la Dunia, Denmark wameonyesha makali ya kushambulia na uimara wa kiuchezaji. Wakiwa kundi C, waliweza kushinda michezo mitatu kwa kishindo, ikiwemo ushindi wa 6-0 dhidi ya Belarus na ushindi mara mbili dhidi ya Greece. Hata hivyo, walijikuta wakipata pigo dhidi ya Scotland na pia walilazimishwa sare mara mbili, hali inayoonyesha kuwa bado wana maeneo ya kuboresha.Jisajili sasa
Kwa upande wa North Macedonia, safari yao imekuwa ya milima na mabonde. Wakiwa kundi J, waliweza kupata ushindi mnono kama ule wa 5-0 na 3-0 dhidi ya Liechtenstein pamoja na ushindi mwembamba dhidi ya Kazakhstan. Hata hivyo, walikumbana na kipigo kizito cha 7-1 kutoka kwa Wales, jambo linaloibua maswali kuhusu uimara wao wanapokutana na timu kubwa.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo yaKasino ya Mtandaonikama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Helina mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tzau piga *149*10#kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mchezo wa leo unatarajiwa kuwa na presha kubwa, huku Denmark wakitegemea nguvu ya uwanja wa nyumbani na mashabiki wao, wakati North Macedonia wakitafuta njia ya kufanya maajabu na kuendeleza ushindani wao. Ni pambano la mbinu, kasi na uthubutu, ambapo kila kosa linaweza kugharimu matokeo.
Odds za moto kama jua la saa sita, unakaa pembeni kweli wakati mkwanja unakuita?
Dakika 90 za leo zitakuwa na majibu yote je, Denmark wataandika historia mpya mbele ya mashabiki wao au North Macedonia wataibuka mashujaa tena? Mpira utaamua, lakini jambo moja ni hakika: burudani ya soka la kiwango cha juu inasubiriwa kwa hamu kubwa.