Habari za michezo

SINGIDA, JKT, TRA KUPIGANIA NAFSI NNE ZA JUU LIGI KUU

Vardo May 12, 2026 9:31 am

HESABU kali zinapigwa na makocha pamoja na wachezaji katika mechi za Ligi Kuu Bara zinazotarajiwa kuchezwa mikoa tofauti leo Jumanne, ambapo Singida Black Stars itakuwa nyumbani dhidi ya Namungo kwenye Uwanja wa Airtel, huku TRA United ikiikaribisha JKT Tanzania kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha, huku kila timu ikiwania nafasi ya kupanda juu kwenye msimamo.

Kama Singida Black Stars iliyopo nafasi ya nne ikishinda dhidi ya Namungo, itaendelea kujiimarisha nafasi hiyo na itafikisha alama 38, lakini ikitokea ikapoteza na endapo JKT Tanzania iliyopo nafasi ya tano ikashinda dhidi ya TRA United, zitabadilishana nafasi.

WAARABU WAMVUTIA WAYA NABI, MAJU YAKE HAYA HAPA DAKIKA 720 BILA HAT TRICK, MASTRAIKA WATAJA SABABU