Habari za michezo
WEMBLEY KUWAKA MOTO FAINALI YA FA CUP LEO
Vardo
May 16, 2026
7:16 pm
Jumamosi ya kwenda kumjua bingwa wa Kombe la FA CUP Uingereza imefika ambapo ni Chelsea vs Manchester City kwenye kusaka taji msimu huu. Nafasi ya ubingwa anapewa City. Je wewe unampa nani?
Jumamosi katika dimba la Wembley kutakuwa na kimbembe kwenye fainali ya kukata na shoka ya FA CUP kati ya Chelsea dhidi ya Manchester City chini ya kocha mkuu Pep Guardiola ambaye analitaka kombe hili kwa hali na mali.
Hii ni mechi yenye presha kubwa kwa timu zote mbili kwani mpaka sasa Chelsea hawana kombe lolote na pia nafasi ya wao kushiriki michuano mikubwa ya Ulaya imekufa kutokana na matokeo ambayo wameyapata kwenye mechi zao za ligi huku mechi 7 za mwisho wakishindwa kukusanya pointi 3.
Hivyo ushindi huu kwa The Blues ni muhimu kwani utaweza kuwafanya waweze kushiriki michuano ya Ulaya msimu ujao. Lakini kwa upande wa Man City baada ya kuwa na sintofahamu ya kuchukua kombe la Ligi kuu baada ya sare sasa matumaini ya wao kuondoka na Kombe yapo kwenye mechi hii.
Tengeneza pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Chelsea na Man City wameshakutana mara nyingi sana zaidi ya mara 180 katika mashindano yote, huku The Blues wakiwa na ushindi 71 na City ushindi 68. Lakini kinachoumiza mashabiki wa Chelsea ni rekodi ya miaka ya karibuni.
Mara ya mwisho Chelsea kupata ushindi dhidi ya City ilikuwa ni 2021 na ndio msimu ambao The Blues walishinda UEFA. Tokea mwaka huo hadi sasa hawajawahi kupata ushindi mbele ya Guardiola kwenye mashindano yote labda akijitahidi ni sare pekee ndio ambayo huambulia mara zote.
Kama inavyojulikana kila timu hutaka kupata Kombe lakini kwa ubora wa wachezaji Manchester City wanaonekana kuwa timu iliyo bora zaidi. Form yao ni nzuri sana. Katika mechi zao 23 za mwisho FA Cup, wameshinda 21. Tatizo lao kubwa limekuwa kwenye fainali pekee ambapo wanatengeneza nafasi nyingi lakini conversion rate yao hushuka vibaya. Wewe unampa nani nafasi ya ushindi?. Suka jamvi hapa.
Lakini pia hii ni fainali lolote linaweza kutokea lakini wachezaji wanaweza kuamua kwa upande wa City hivi karibuni Doku ameonekana kuwa hatari zaidi hivyo ni mchezaji wa kuchungwa sana. Kwa upande wa Chelsea Palmer amerejea, Joao Pedro na wengine wanaweza wakaisaidi timu kwa namna moja ua nyingine. Tengeneza jamvi hapa.