Meridianbet
CELTA VIGO KUWANIA NAFASI YA KUSHIRIKI MICHUANO YA ULAYA LEO
Vardo
May 23, 2026
7:30 pm
Mchezo huu wa mwisho wa msimamo unawakuta Celta Vigo wakiwa nafasi ya 6 kwenye msimamo wa La Liga wakiwa na pointi 51, wakipambana kuhakikisha nafasi yao ya kuingia michuano ya Ulaya.
Kwa upande mwingine, Sevilla wapo nafasi ya 13 wakiwa na pointi 43, wakiwa wamepata msimu mgumu wenye matokeo yasiyotarajiwa. Ushindi kwa Celta ni muhimu kwa kumaliza msimu kwa nguvu na kuwafurahisha mashabiki wao wa nyumbani.
Timu zote zimekumbwa na majeruhi muhimu. Celta watakosa wachezaji wao Starfelt Carl kutokana na adhabu ya kadi, pamoja na Miguel Román, ambaye ni majeruhi.
Kwa Sevilla, hawana wachezaji wao muhimu Juanlu ambaye anatazamiwa kutumikia adhabu ya kusimishwa mechi moja kutokana na mkusanyiko wa kadi za njano. Pia, Isaac Romero, Manu Bueno, na Marcão wamo kwenye orodha ya majeruhi
Celta wanatarajiwa kucheza kwa mfumo wa 3-4-3, wakimtegemea Williot Swedberg aliyefunga bao dhidi ya Athletic Club mchezo uliopita, pamoja na Ferran Jutglà na Borja Iglesias mbele.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Sevilla watakuja kwa mfumo wa 4-4-2, wakimtegemea Nemanja Gudelj kiungo na Neal Maupay na Akor Adams katika safu ya ushambuliaji. Kipa wa Celta, Ionuț Radu na kipa wa Sevilla, Odysseas Vlachodimos watakuwa na jukumu kubwa.
Katika michezo mitano iliyopita kati ya timu hizi, Celta ameshinda mara tatu, sare moja na Sevilla mara moja, huku mechi ya mwisho ikimalizika kwa Celta kushinda 1-0 ugenini mnamo Januari 2026. Celta hawajapoteza kwa Sevilla kwenye uwanja wao wa Balaídos katika mechi tatu za mwisho. Takwimu zinaonyesha Celta ana uwezekano kushinda