Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

KICHUYA AWATAJA BALUA NA CHASAMBI SIMBA

1
WINGA wa JKT Tanzania, Shiza Kichuya amesema zama alizokuwa nazo za ubora kwa sasa zimeisha na anawaona Ladack Chasambi na Edwin Balua wanaokipiga Simba...

HII NDIO SIMBA TUNAYOITAKA…WAARABU WAKUBALI MZIKI WA MNYAMA

0
Hii ndio Simba tunayoitaka. Ndivyo baadhi ya kauli za mashabiki waliojazana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, wakati Simba ikiing’oa Al Ahli Tripoli ya Libya...

FEISAL…DUBE NI MCHEZAJI MZURI…AWATULIZA YANGA

1
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga na sasa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameibuka na kumkingia kifua nyota huyo. Licha ya kumtetea kukosa nafasi...

MIGUEL GAMONDI ATUMA SALAMU SIMBA NA AZAM…ANZA NA KENGOLD

0
WAANCHI Yanga usiku wa jana ilikuwa visiwani Zanzibar kumalizana na CBE SA ya Ethiopia katika mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya Ligi...

FADLU AAPA KUWAMALIZA WALIBYA…MASHABIKI WAONYWA

0
Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema kwa mchezo wa leo hawana kitu kingine cha kufanya zaidi ya kushinda na kufuzu makundi. Fadlu amebainisha, watatumia...

GAMONDI ACHIMBA MKWARA…YANGA YAVUNA MABILIONI

1
KLABU ya Yanga imejihakikishia Sh30 milioni kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan kupitia za ‘Bao la Mama’, pia baada ya kutinga makundi imejihakikisha Dola...

MNYAMA NA KARATA YA MWISHO LEO KIMATAIFA…AL AHLI WAINGIA UBARIDI

0
Mnyama Simba anatupa karata muhimu leo akihitaji ushindi wa aina yoyote dhidi  ya Al Ahli Tripoli ili itinge hatua ya makundi ya Kombe la...

YANGA YATINGA MAKUNDI CAF KWA REKODI YA KIBABE…CHAMA ANAKIMBIZA TU

1
HISTORIA imeandikwa tena Kibabe usiku wa jana Yanga ikitinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya pili mfululizo ikiing’oa CBE...

AZAM FC WAIPELEKA SIMBA ZENJI

0
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Azam FC dhidi ya Simba uliopangwa kufanyika Septemba 26, mwaka huu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa...

ALI KAMWE…HATUJAZOEA GOLI MOJA…TUNA TIMU BORA

0
YANGA inashuka dimbani leo kucheza mchezo wa raundi ya pili kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya CBE ya Ethiopia. Mchezo huo...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS