Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

SIMU ZIMEANZA KUITA KWA JUMA MGUNDA…AWEKA REKODI

0
Kwa sasa simu zinaita tu kwa kocha, Juma Mgunda, ambaye alihudumu katika klabu ya Simba kwa miaka miwili sawa na siku 732, kuanzia Septemba...

SIMBA YALAMBA MIL 10 ZA MAMA

0
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi shilingi milioni 10 kwa wachezaji wa Simba Queens ikiwa ni zawadi kwa kuiwakilisha Tanzania kwenye michuano...

YANGA WALIVALIA NJUGA SAKATA LA YUSUPH KAGOMA…FOUNTAIN GATES WAWAKATAA KWEUPE

0
MKURUGENZI wa Sheria wa Yanga, Simon Patrick amethibitisha kuwa timu yao ilikamilisha mchakato wa kumsajili Yusuph Kagoma mwezi Machi 2024 kutoka klabu ya Fountain...

MABULULU NI KAMA HOSSAM HASSAN TU…SIMBA WALA HAWAOGOPI

0
2003 wakati Zamalek wanakuja Tanzania kucheza na Simba SC kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mshambuliaji aliyekuwa kwenye midomo ya watu wakati huo alikuwa...

SINGIDA BS KUISHUSHA SIMBA KILELENI LEO?

0
Utamu wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa michezo miwili, huku macho ya mashabiki yakiwa kwenye Uwanja wa Liti, mjini Singida wakati wenyeji...

SIMBA HAJAKATA TAMAA KWA MPANZU…DILI LAO LIMEFIKIA HUKU

1
Kama uliona bado mapema kwa Simba kutafuta mchezaji wa kumsajili dirisha dogo msimu huu, basi umekosea, kwani Wekundu hao wamegonga hodi tena kwa Winga...

YANGA YATUA ADDIS ABABA MUDA HUU

0
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga SC wamewasili salama mjini Addis Ababa tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza...

MECHI YA YANGA NA CBE KUPIGWA ABEBE BIKILA

1
Mchezo wa hatua ya pili na ya Mwisho ya Mtoano Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya Comercial Bank of Ethiopia (CBE FC) dhidi ya...

MOROCCO TUMAINI JIPYA TAIFA STARS…APEWE MIKOBA YOTE

0
KAIMU kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman Morocco, ameleta matumaini mapya kwa mashabiki wa soka nchini Tanzania. Tangu achukue mikoba...

KWA UNDANI HAWA HAPA WAPINZANI WA SIMBA CAFCC.

0
AL AHLI TRIPOLI Kwa Lugha ya Malkia Elizabeth wanafahamika kama National Sport Club kutoka jiji la Tripoli katika nchi ya Libya kwa Gadaffi, kwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS