Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

KOCHA FADLU AMEANZA VIZURI SIMBA

0
KOCHA wa Simba Fadlu Davids kwa namna anavyoifundisha timu hiyo, ameanza na msingi wa timu ( eneo la ulinzi ), linaonekana kuimarika / kuboreka,...

CV YA MCHEZAJI HUYU MPYA WA YANGA PRINCESS.

0
Leo nakusogea CV iliyokamilika ya kitsa mpya wa Yanga mwenye akili mingi nguvu kidogo kama Bacca tu. ▶ Majina yake kamili: Uzoamaka Confidence Igwe. ▶ Amezaliwa...

FREDDY AKANA KURUDI YANGA.

0
Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Freddy Michael ameshindwa kujiunga na USM Alger ya Algeria kwa kigezo cha kutowahi kuchezea timu ya taifa, lakini mwenyewe amezima...

TAIFA STARS KWENYE MGONGO WA MZIZE,WAZIR JR NA KACHWELE

0
WASHAMBULIAJI Wazir Junior, Clement Mzize na Cyprian Kachwele wana jukumu kubwa la kuiongoza safu ya ushambuliaji ya Taifa Stars katika mchezo wa leo dhidi...

MAGOMA NA WENZAKE CHALI..RUFAA YAO YATUPWA..YANGA YAPEWA USHINDI

0
MAHAKAMA Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya Juma Ally Magoma na mwenzake Geofrey Mwaipopo waliyokuwa wameikata dhidi ya Bodi ya...

FADLU AMKINGIA KIFUA ATEBA…ANAJUA KUFUNGA

0
Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amemkingia kifua mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Leonel Ateba 25, akisema anamwona akifika mbali msimu huu kwa jinsi...

MAUYA NA MWAMNYETO WATOA MSAADA KWA MDAMU

0
BEKI na Nahodha wa Yanga Bakari Mwamnyeto na rafiki yake, Zawadi Mauya wa Singida Black Stars wamemshika mkono aliyekuwa mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Gerald...

SIMBA NA YANGA CAF WANATAMANISHA.

1
WAWAKILISHI PEKEE wa Tanzania kwa upande wa Kimataifa, Simba na Yanga wanakabiriwa na michezo ya raundi ya pili kufuzu hatua ya makundi, wote watakuwa...

WAKILI WA YANGA AMPASUA KICHWA KAGOMA…ATAKA ASAJILIWE JANUARI

0
Mwanasheria Mkuu wa Yanga Simon Patrick ametema nyongo juu ya kilichofanywa na mchezaji wa Simba, Kiungo Yusuph Kagoma ambaye alisajiliwa na Yanga kwa mujibu...

FADLU DAVIDS APITIA NJIA ZA JURGEN KLOPP

0
LIVERPOOL kabla ya Jurgen Klopp alishawahi kupita kocha Bill Shankly ambaye alikuwa na mafanikio makubwa ndani ya Anfield lakini baada ya hapo Liverpool ilipitia...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS