Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

ALI KAMWE AWAVAA SIMBA…NENDENI KWENU BUNJU

0
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amewajibu baadhi ya mashabiki wa Klabu wa Simba wanaosema kwamba Yanga wamekwenda kufanya ushirikina kwenye uwanja...

SUALA NA MWENDA NA SINGIDA BS LIMEFIKA HUKU

0
Sakata la beki mpya wa Singida Black Stars, Israel Mwenda na uongozi wa timu hiyo limebakia hatua chache kabla ya kufikia mwishoni baada ya...

FADLU DAVIDS AWAPA NENO MABEKI WAKE.

0
KOCHA Mkuu wa Simba Fadlu Davids ameuzungumzia ubora wa mabeki wake wa kati, Che Malone Fondoh,  Chamou Karaboue, Hussein Kazi na haswa Abdulrazack Hamza. Fadlu...

KARIAKOO DABI YAPELEKWA MKAPA…NI TAREHE 19 OKTOBA

0
Mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu msimu huu baina ya Simba na Yanga iliyopangwa kuchezwa Oktoba 19 katika Uwanja wa KMC Complex,...

STRAIKA LA MAGOLI YANGA KUJIUNGA KARIBUNI

0
MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga Princess, Sabina Thom anatarajiwa kujiunga na kambi ya timu hiyo baada ya kumaliza fainali za Klabu Bingwa Afrika kwa Wanawake. Yanga...

UWEZO WA KITASA WA SIMBA…ANATISHA WAPINZANI NI BALAA

0
Anaitwa Abdulrazack Mohamed Hamza mwenye uwezo mkubwa sana wa kucheza eneo la kushoto na kulia katika nafasi ya beki wa kati katika ukuta wa...

LAMECK LAWI AJUTIA KUIKOSA SIMBA

0
Ilikuwa rahisi kama ambavyo nilikuwa naamini itakuwa hivyo,ule ukute wa Simba pale nyuma kwa sasa chini ya "Insepector" Chamou Karaboue, Abdlurazack Hamza pamoja na...

GAMONDI AELEZA ALIVYOHUSIKA…KUMBAKIZA MZIZE YANGA

0
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kwamba alihusika katika ushawishi wa kumbakisha mshambuliaji Clement Mzize asiondoke klabuni hapo huku akitaja sababu mbili za...

MZIZE ATABIRIWA MAKUBWA…EDO KUMWEMBE ATOA NENO

0
MSHAMBULIAJI wa Yanga Clement Mzize ambaye yupo timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amekuwa na kiwango kizuri sana tangu kuanza kwa msimu huu,...

SABABU ZA KUIFUNGA ETHIOPIA ZATAJWA…TAIFA STARS KAZINI LEO

0
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', leo kinaanza kampeni ya kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025,...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS