Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

PACOME AWAVURUGA WASANII BONGO MOVIE

0
MWIGIZAJI wa Bongo Movie anayetamba kwenye tamthilia ya Jua Kali, Wanswekula Zacharia 'Dora' humwambii kitu kuhusiana na kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua anayemkosha...

MASHABIKI WA WYDAD WAMFATA MZIZE…KISA GOLI LAKE

0
Wakati mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize akiendelea kuhusishwa na klabu ya Wydad, mashabiki wa timu hiyo wamevamia kwenye ukurasa wake wa Instagram wakimkaribisha kwenye...

GAMONDI AIPASUA CAF…KUELEKEA MCHEZO WA PILI ETHIOPIA

0
KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ameonekana kutofurahishwa na namna ambavyo Shirikisho la Soka Afrika CAF, linavyopanga ratiba zake ukizingatia michuano ya kimataifa na...

JINSI HALI ILIVYOKUWA…MAWAKILI WA YANGA WAKIPANGUA HOJA ZA MAGOMA MAHAKAMANI

0
Akifafanua hoja ya kwanza, wakili Rashid (wa Yanga) amedai kuwa uamuzi ambao kina Magoma wameukatia rufaa ni uamuzi mdogo ambao kwa mujibu kifungu cha...

HATMA YA RUFAA YA MAGOMA KUJULIKANA SEPTEMBA 9

0
BAADA ya Mahakama kuipa ushindi Yanga dhidi ya Mzee Magoma sasa hatma ya rufaa ya hukumu hiyo itajulikana Septemba 9, mwaka huu wakati Mahakama...

JEURI YA SIMBA MSIMU HUU INAANZIA HAPA.

0
Msimu uliopita, ungemwambia shabiki wa Simba kwamba mabosi wa klabu yake watamuacha kiungo wao Fabrice Ngoma wangeweza kukutia ngumi achilia mbali kung’aka kwa mshtuko. Lakini...

KISA KIATU AZIZ KI NA DUBE WAKUTANA FARAGHA.

0
Wakati Yanga jana ilikuwa uwanjani kuvaana na Kagera Sugar katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara msimu huu iliyopigwa kwenye Uwanja wa Kaitaba,...

BEKI SIMBA ATANGAZA VITA…AWEKA WAZI KILA KITU

0
Beki wa kati wa Simba, Abdulrazack Hamza amesema, anajisikia vizuri ndani ya kikosi hicho tangu ajiunge nacho msimu huu akitokea SuperSport United ya Afrika...

FOUNTAIN GATE FC YAIPIGA BITI SIMBA

0
BAADA ya ushindi wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara, Fountain Gate wameipiga mkwara timu iliyowafunga katika mchezo wa kwanza ambayo ni Simba inayonolewa...

TATIZO LA YANGA LIKO HAPA…LIMEWEKWA HADHARANI

0
KOCHA MKUU wa Yanga Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa tatizo kubwa ambalo lilikuwa kwenye mchezo wao wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara dhidi...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS