Habari za Michezo leo
Habari za michezo

CAF KUFUTA KOMBE LA SHIRIKISHO

Abubakar September 28, 2024 5:34 pm

Rais wa shirikisho la soka Barani Afrika  CAF, Patrice Motsepe ameweka wazi mpango uliopo wa kuyafuta mashindano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika kwa lengo la kupunguza idadi ya mashindano ambayo yanaonekana kuwa mengi.

Rais wa shirikisho la soka Barani Afrika Patrice Motsepe ameweka wazi mpango uliopo wa kuyafuta mashindano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika kwa lengo la kupunguza idadi ya mashindano ambayo yanaonekana kuwa mengi.

Sababu nyingine ambayo inatajwa kusababisha michuano hiyo kufutwa ni pamoja na uhaba wa wadhamini hasa baada ya michuano mikubwa ya Ligi ya mabingwa Afrika kusumbuka kupata wadhamini wapya na hali ngumu ya kiuchumi kwa klabu zinazoshiriki.

LEONEL ATEBA APANDISHA MZUKA…ANATAKA MAKOMBE SIMBA UNAIKUMBUKA ILE KAZI YA KAPOMBE KWA MABULULU…SASA UKWELI WOTE UKO HIVI KUMBE…