Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

FAINALI YA TATU YANGA VS AZAM FC…REKODI ZIKO HIVI

0
MABINGWA WA LIGI KUU YANGA watacheza na  Waoka mikate wa Chamazi Azam FC, ambapo hii inatoa taswira za timu hizo kukutana kwenye fainali nyingi...

SIO KAWAIDA SIMBA KUKUBALI KUFUNGWA…WAPONGEZWA

0
Pongezi zielekezwe kwa Simba,wamesajili vizuri,wanaonyesha kuna pahala wanaelekea kuutafuta ubora walionao Yanga kwa takribani misimu mitatu mfungaji! Yanga ilitengeneza upekee wake,kiasi cha kuwa ili uweze...

PRINCE DUBE AJUTA KUTOIFUNGA SIMBA…MWENYEWE ALICHOKIONA

0
BAADA ya kutoa asisti ya bao pekee kwenye Kariakoo Dabi ya Yanga na Simba jana mechi ya pili ya nusu fainali ya Ngao ya...

MSALA WA AWESU NA KAGOMA SIMBA…TFF WAKUTANA

0
ACHANA na lile sakata la usajili wa beki Lameck Lawi aliyekuwa Coastal Union aliyetimkia kwa sasa KAA Gent ya Ubelgiji, inaelezwa nyota watatu wapya...

JOSHUA MUTALE “SGR” AWATULIZA SIMBA…MAZURI YANAKUJA

0
WINGA wa Klabu ya Simba, Joshua Mutale amesema kicheko kwa mashabiki wa timu hiyo ni suala la muda, akiwapa ahadi yanayokuja mbele yao yanafurahisha,...

KESI YA MAGOMA NA YANGA ILVYOKUWA…KWA UNDANI ZAIDI MAMBO YALIKUWA HIVI.

0
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu Klabu ya Yanga kufanya mapitio ya marejeo ya shauri la madai namba 187/2022 lililofunguliwa na Juma Magoma na...

BREAKING NEWS…SIMBA NA YANGA KUPIGWA OKT 19…BODI YA LIGI YATANGAZA

0
HATIMAYE Bodi ya Ligi wametangaza Ratiba ya Msimu wa Ligi Kuu 2024/25 ambayo itaanza kutimua vumbi kuanzia Agosti 16 kwa mchezo mmoja pekee, huku...

AHMED ALLY AJIBU SUALA LA JEZI YA MANULA…KUVALIWA NA MANULA

0
HATIMAYE Uongozi wa Simba kupitia Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, imetoa ufafanuzi juu ya jezi namba 28 inayotumiwa na kipa Aishi...

SIMBA WAMBIPU MANULA…CAMARA ACHUKUA KILA KITU

0
MABOSI wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba ni kama jana Alhamisi ilibipu juu ya namba 28 ya kipa Aishi Manula baada ya...

KUNA MAXI NZENGELI MMOJA TU YANGA…SI PACOME, CHAMA WALA NANI

0
WATAKUJA Wote na watasifiwa sana lakini kuna huyu mwamba mmoja atabaki dunia yake, Chama amesifiwa sana, kuna Dube lakini Maxi Nzengeli anastahili pongezi na...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS