Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1084 POSTS 0 COMMENTS

SIMBA NA YANGA KILA MWAKA MATATIZO YALE YALE…KUINGIA UWANJANI CHANGAMOTO…MNAKWAMA...

0
Miaka ya hivi karibuni tunashindana kwa kila kitu. Zama za mitandao ya kijamii, wikiendi hii tulikuwa tunashindana tena katika matamasha mawili ya klabu pacha...

MAINGIZO MAPYA SIMBA NA YANGA…UBORA WAO

0
Katika maboresho ambayo Simba na Yanga imefanya katika dirisha hili la usajili, wapo wachezaji ambao tayari wameanza kuonyesha makali yao na huenda wakaongeza makali...

DABI YA KASI AGOSTI 8…SIMBA NA YANGA KITAELEWEKA

0
Huenda Alhamisi tukashuhudia Dabi yenye kasi zaidi kulingana na namna ambavyo vikosi vya timu zote mbili vimekuwa vikicheza. Katika mchezo wa kirafiki dhidi ya APR,...

MVP AZIZ KI ATUMA SALAM SIMBA…AGOSTI 8 KWA MKAPA

0
MOST Valuable Player (MVP) wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Stephenie Aziz Ki ameweka wazi kuwa kila baada ya mchezo mmoja kinachofuata ni...

SIMBA MPYA YAMSHTUA KOCHA WA YANGA

0
JESHI LA SIMBA mpya ya msimu ujao wa 2024-2025 imeonekana kumshtua Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi baada ya kutamka kwamba wapinzani wake hao...

KOCHA SIMBA ATUMA SALAM YANGA…FADLU AIREJESHA HESHIMA YA MNYAMA

0
UKISEMA ametuma salam kwa Yanga utakuwa sahihi baada ya Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids kusema anaamini kikosi chake kitapata mafanikio makubwa msimu ujao...

KUHUSU KUSAMEHEWA KWA KIBU…SALEH JEMBE ATOA NENO

0
Mwandishi wa Habari Mkongwe hapa nchini Tanzania Saleh Ally Jembe wengi wanapenda kumuita Jembe ameweka wazi kuwa Kibu Denis kiungo mshambuliaji wa Simba hakupaswa...

MANULA KUIPELEKA SIMBA MAHAKAMANI…JEMEDARI AELEZA KINAGA UBAGA

0
BAADA ya Simba kutotoa ufafanuzi kuhusu uwepo wa Aishi Manula kwenye kikosi msimu wa 2024/25 Meneja wa mchezaji huyo Jemedari Said ameweka wazi kuwa...

SEMAJI WA UBAYA UBWELA AANZA FUJO…ATAMBA NA MASHINE ZAO

0
Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally amesema kuwa wachezaji wote waliopo ndani ya kikosi cha Simba wapo tayari kupambania uzi wa Mnyama na kuwapa...

MUDATHIR AANZA KUPIGA SIMU…NYIE HAMUOGOPI?

0
MZEE WA KUPIGA SIMU MUDATHIR Yahya kiungo wa Yanga ubora wake ni ule ule unaendelea msimu wa 2024/25 kwa mujibu wa Maulid Kitenge ameweka...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS