Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

CLEMENT MZIZE AWAJIBU WANAOMPONDA…NAUMIA KUKOSA NAFASI

0
BAADA ya Maneno kuwa mengi sana Mtandaoni kuhusu Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize kutotumia nafasi anazopata. Mchezaji huyo amefunguka kwa kuwanyamazisha mashabiki. Mzize amekuwepo Yanga...

MIGUEL GAMONDI KUHUSU COMBO YA DUBE, MZIZE

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema ni mapema, lakini amefurahishwa na pacha iliyotengenezwa na Prince Dube wakishirikiana na Clement Mzize akiwataja kuwa wanamuofa...

KWA MAXI NZENGELI…YANGA YAHISI MCHONGO.

0
BAADA ya Maxi Nzengeli kukiwasha sana Sauzi Mabosi wa Yanga wameshtukia jambo na kumuita mezani kuanza mazungumzo mapya ya mkataba mpya. Nzengeli atakapoanza msimu ujao...

AZIZ KI NA FEI TOTO KUTOA ROHO LEO…TUZO ZA TFF…KIUNGO NA...

0
AZIZ Ki na Feisal Salum "Fei Toto" vita yao kwenye rekodi ilikuwa ngoma nzito kutokana na kila mmoja kupambana kufikia malengo yao kwa msimu...

SIMBA YAWEKA REKODI NYINGINE AFRIKA…KWA MKAPA FULL HOUSE

0
KUELEKEA Agosti 3 Katika Tamasha kubwa la Michezo Afrika la Simba Day uongozi wa Simba umebainisha kuwa mashabiki wamefanya jambo kubwa ambalo linastahili pongezi...

AHMED ALLY ALIVYOJIPANGA KUTAMBULISHA WACHEZAJI SIMBA DAY

0
SIKU ya Simba Day ya UBAYA UBWELA itakuwa Uwanja wa Mkapa kwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya APR kutoka Rwanda kitaumana...

FEI TOTO ABAINISHA ALICHOAMBIWA NA MOKWENA WA WYDAD

0
KIUNGO Mshambuliaji wa Azam FC ambaye amewahi kucheza Yanga na akahitajika Simba, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema alikuwa na wakati mzuri na kocha wa...

AHMED ALLY AMALIZA UTATA…AMKATAA DULLA MAKABILA

0
Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally Amezungumzia sakata la msanii wa muziki wa Singeli, Dulla Makabila kuhusu kutumbuiza katika Tamasha la Simba Day. Ahmed...

MAKOSA MAWILI YA KIBU DENIS NA TIMU YAKE MPYA…SIMBA YAWEKA SHARTI...

0
BAADA ya SOLD OUT ya Simba Day Klabu hiyo sasa imetoa sharti gumu kwa mchezaji wake Kibu Denis na Kristiansund BK inayomhitaji ili imruhusu...

KOCHA RED ARROWS AKUBALI MZIKI WA YANGA

0
KOCHA Mkuu wa Red Arrows ya Zambia, Chisi Mbewe amesema, baada ya kupata mualiko wa kucheza na Yanga katika kilele cha ‘Wiki ya Mwananchi’,...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS