Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

SIMBA WAMESHINDA NJE YA UWANJA….SIMBA DAY KUNOGA

0
Kitendo cha Klabu ya Simba SC kuificha timu yao iwe kwa makusudi au bahati mbaya ya mazingira kimewasaidia kutengeneza hamu ya mashabiki wake na...

MBABE WA AL AHLY NDANI YA YANGA…NYIE HAMUOGOPI

0
MICHUANO YA CAFCL hatua ya makundi Al Ahly Mapharao wa Misri walikuwa ni imara kwenye upande wa ulinzi kutokana na ukuta wao kutoruhusu mabao...

BREAKING NEWS…STARTIMES KUONESHA LIGI ZOTE DUNIANI.

0
CHOMBO CHA HABARI-STARTIMES Julai 31, wamefanya mapinduzi makubwa ya Soka duniani, ambapo Meneja Masoko wa kampuni hiyo David Malisa aliweka wazi mpango kabambe wa...

KOCHA WA SIMBA ATAJA LENGOLA KAMBI YA SIMBA

0
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amedai lengo la kucheza mechi za kirafiki za ndani ni kuficha kikosi chake kwa lengo kutaka kuona muunganiko...

PRINCE DUBE AMTAJA CHAMA NA AZIZ KI

0
MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube ameweka wazi kuwa kucheza timu moja na wachezaji wenye uwezo ikiwa ni Clatous Chama, Aziz Ki kunamuongezea hali...

SALEH JEMBE ATAJA SIFA ZA JOSHUA MUTALE…USAJILI MZURI KWA SIMBA

0
MCHAMBUZI NGULI wa Michezo Saleh Ally Jembe ni miongoni mwa wale waliokuwa Misri kushuhudia maandalizi ya Simba kuelekea kwenye Ligi Kuu Bara 2024/25 Jembe...

MUKWALA NA MUTALE WAFUNGUKA A-Z KAMBI YA SIMBA

0
WACHEZAJI Wapya wa Simba Joshua Mutale winga na Steve Mukwala Mshambuliaji wamefunguka kuelezea namna ambavyo kambi ya timu hiyo ilivyokuwa huko Ismailia Misri. Akizungumzia kikosi...

FADLU DAVIDS AWAKALISHA CHINI MUTALE NA MUKWALA

0
SIMBA imekamilisha β€˜Pre-season’ Misri baada ya kuwa huko kwa wiki tatu na leo Jumatano imerejea Dar kumalizia maandalizi ya mwisho kabla ya Simba Day...

BREAKING NEWS…DILI LA KIBU DENIS LIMEKUFA RASMI…SIMBA WAMUITA DAR

0
Dili la Winga wa Simba Kibu Denis na timu ya ligi kuu ya Norway, Kristiansund BK, limekufa Baada ya Simba kumtaka mchezaji huyo arejee...

PIGO KWA SIMBA…KAGOMA KUIKOSA MECHI NA YANGA

0
Kiungo mkabaji wa Simba, Yusuph Kagoma (28) atakaa nje ya uwanja kwa wiki mbili hadi tatu baada ya kupata majeraha akiwa kambini Ismailia, Misri. Kagoma...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS