Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

MANARA CHIMBA MKWALA…SIMBA ASILETE TIMU

0
Mhamasishaji wa  Klabu ya Yanga SC, Haji Manara amesema Simba SC wasiende Uwanjani Agosti 08 katika pambano lao Ngao ya Jamii la kuashiria kufunguliwa...

CLATOUS CHAMA ATOA ONYO KWA SIMBA

0
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama, amefurahishwa na timu yake mpya (Yanga) kutwaa Kombe la Toyota na kuvaa medali ikiwa ni muda mfupi tu baada...

INJIA HERSI MBEBA MAONO WA YANGA…ASIFIWE AKIWA HAI

0
ITAKUMBUKWA Julai 9, 2022, ilikuwa siku ya kihistoria kwa mashabiki na wanachama wa Yanga baada ya kumchagua Injinia, Hersi Said kuwa rais wa klabu...

KOCHA SIMBA ALIA NA FREDY & MUKWALA

0
KOCHA Mkuu wa Simba Fadlu Davids ameelezea namna ambavyo anaumizwa na washambuliaji wa timu yake kutotumia nafasi, ambazo tiu inazitengeneza na kuzigeuza kuwa magoli. Licha...

SIMBA YAFICHA SILAHA ZAKE…FADLU AONGEZA MBINU

0
MNYAMA Aisseh ana Balaa huyo. Wanafahamu kwamba wapinzani wao wa jadi, Yanga watakutana nao Agosti 8 kwenye Ngao ya Jamii, wakaamua kufanya sapraizi ambayo...

WAMESHTUKA…SASA MUTALE APATIWA MBINU MPYA

0
WINGA wa Simba, Joshua Mutale kwa sasa anajiita Mwamba wa Zambia, kitu kilichowaibua baadhi ya mastaa wa zamani wa timu hiyo kumpa mbinu ya...

RANGA CHIVAVIRO AKUBALI MZIKI WA YANGA…MSIKIE ALICHOSEMA

0
Mshambuliaji  wa Kaizer Chiefs  Ranga Chivaviro ambaye aliwahi kuwindwa na Yanga akachomoa dakika za mwisho, alisema Yanga iliwaweka kwenye wakati mgumu ambapo nidhamu yao...

NABI ATOA ANGALIZO KWA SIMBA…JIPANGENI VIZURI

0
KOCHA Mkuu ambaye ametambulishwa hivi karibuni na Kaizer Chiefs, Nasredine Nabi amesema kuwa Yanga ina mabadiliko makubwa na chochote kinaweza kumkuta yoyote msimu ujao. Nabi...

MOSES PHIRI AMALIZANA NA TIMU HII

0
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba Mzambia, Moses Phiri amejiunga na Power Dynamos FC ya Zambia kwa mkataba wa miaka miwili. Mshambuliaji huyo alikuwa akiichezea timu hiyo...

MUKWALA AAHIDI MAKUBWA SIMBA…AANZA KUFUNGA

0
KIKOSI cha Simba jana usiku kilikuwa uwanjani kucheza mechi ya tatu ya kirafiki ikiwa kambini, jijini Ismailia, Misri huku mshambuliaji mpya wa kikosi hicho,...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS