Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

SIMBA NA COASTAL WAKUTANA KUYAMALIZA YA LAMECK LAWI

0
UONGOZI wa Mnyama Simba na Wagosi wa Kaya, Wana Mangoshi Coastal Union wamekutana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumza kuhusu sakata la...

MASTAA WALIOSEPA WAKARUDI BONGO…SIMBA NA YANGA USIPIME

0
UTAMU wa Ligi kuu ya NBC unazidi kuongeza na sasa ni miongoni mwa Ligi 6 bora za Afrika, hali hii inawafanya wachezaji wengi kukimbilia...

SIMBA KUANZA NA FAD FC YA DJIBOUT

0
KLABU ya Simba Queens, inatarajia kuanza kampeni yao Ligi ya Mabingwa Afrika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kwa kuanza kucheza na klabu ya...

AZIZ KI NA PRINCE DUBE WAAHIDI MAKUBWA YANGA

0
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki na mshambuliaji mpya wa klabu hiyo, Prince Dube wameahidi kutoa uwezo wao wote kuisaidia timu hiyo kutetea...

SIMBA NA KIBU WAFIKIA MAKUBALIANO…KILA KITU YENTE

0
MABOSI wa Mnyama kwa sasa wanasikilizia tu dili la nyota wa timu hiyo, Kibu Denis aliyepo Norway kwa sasa akimalizana na klabu ya Kristiansund...

PACOME KUIMALIZA KAIZER CHIEF…YANGA VS KAIZER KESHO

0
BAADA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kupewa siku tano kushughulikia pasipoti yake kabla ya kuungana na wenzake kambini Afrika Kusini, taarifa zikufikie...

MAANA YA NENO SANDA…KWENYE JEZI MPYA ZA SIMBA

0
SABABU ya jezi za Simba kuandikwa neno Sanda zimeelezwa,wahusika wamewatoa hofu waliozitafsiri vinginevyo, kutambua kwamba ni ubunifu walioamua kuja nao msimu ujao. Alipotafutwa Yusuph Yenga,...

KIPA SIMBA APUNGUZA PRESHA…AWATULIZA MASHABIKI

0
SIKU chache baada ya taarifa ya Mlinda Mlango namba moja wa klabu ya Simba, Ayoub Lakred kuripotiwa kuumia na kutarajiwa kukaa nje ya uwanja...

INSHU YA KIBU SIMBA YATAKA BIL 2…MWENYEWE AMKATAA MWANASHERIA WAKE

0
BAADA ya Winga mtorokaji Kibu Denis kumkana Mwanasheria wake Rashid Yazid kwa kusema hamtambui, ila anayemtambua ni Meneja wake Carlos MasterMind. Sasa kuna habari mpya...

YANGA YAJIPANGA KUIPASUA KAIZER CHIEF…GAMONDI ATOA NENO

0
MABINGWA Mara 30 wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2023/24 Yanga wapo tayari kuwakabili Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa Toyota...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS