Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

MSIMAMIZI WA KIBU DENIS…AFUNGUKA KUTOROSHWA KWA MCHEZAJI WAKE

0
Msimamizi na Mwanasheria wa Mchezaji Kibu Dennis, Rashid Yazidu wa Kampuni ya Football Fraternity amefunguka mapya juu ya sakata la mshambuliaji huyo wa Simba...

WAKALA WA MPANZU AFUNGUKA KILICHOKWAMISHA…USAJILI WA MTEJA WAKE SIMBA

0
BAADA YA Dili la Kuinasa saini ya Winga wa AS Vita Ellie Mpanzu kugonga mwamba  katika mita ya Msimbazi, Wakalawa mchezaji huyo Raia wa...

MZEE DALALI, ALI KIBA WAITEKA MORO…SIMBA DAY MIKUMI

0
MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Hassan Dalali na Msanii Mkubwa Afrika Ali  Kiba walikutana kwenye uzinduzi wa Simba Day Morogoro,  ambapo safari ya kwenda...

SIMBA NA COASTAL WATAKIWA KUKAA MEZANI…SUALA LA LAWI

0
Klabu ya Coastal Union imesema inausubiri Uongozi wa Simba wakae meza moja kulimaliza pembeni sakata la usajili wa beki Lameck Lawi ambaye shauri lake...

GAMONDI HANA IMANI NA DUBE…AMKUBALI ZAIDI BALEKE…SABABU NI HIZI

0
KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi, amesema mchezaji wake Prince Dube hayupo kwenye kiwango bora, ikiwamo kutokuwa na utimamu kwa mwili kutokana na kutocheza...

BALOZI AIFAGILIA SIMBA…ATOA TAHADHARI KWA WAPINZANI.

0
WAKATI Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, akionekana kufurahishwa na ushindi ambao timu yake iliupata juzi dhidi ya El Qanah, lakini akisema bado anahitaji...

MASHABIKI SIMBA WAITIKIA UBAYA UBWELA…MIKUMI IMENOGA

0
MASHABIKI wa Mnyama Simba SC wamejitokeza kwa wingi huku wakivalia jezi zao katika safari ya kwenda Hifadhi ya Mikumi mkoani Morogoro kwa ajili ya...

SIMBA WATOA TAMKO ZITO KUHUSU KIBU DENIS KUTOROKEA NORWAY.

0
BAADA ya taarifa kusambaa kuhusu kiungo mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis amekimbilia Norway, uongozi wa klabu hiyo umesema utamchukulia hatua za kinidhamu ikidai ni...

MENEJA WA KIBU DENIS AELEZA ALIPO MCHEZAJI WAKE

0
IKIWA Sintofahamu juu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri, Meneja na Msimamizi wa nyota huyo, Carlos Mastermind amesema nyota na...

SIMBA YATOA NENO SAKATA LA AISHI MANULA, KIBU NA MWENDA

0
Klabu ya Simba imefunguka kuhusu wachezaji wao wawili, kipa Aishi Manula pamoja na beki wa pembeni, Israel Patrick Mwenda kutofika kambini nchini Misri mpaka...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS