Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

MZAMIRU HAWANA PRESHA SIMBA…VIUNGO 8 NA WALA HAWAZI

0
KIUNGO wa Kazi Chafu Mzamiru Yassin amesema hana presha yoyote ndani ya Simba licha ya kusajiliwa mashine kadhaa mpya zinzocheza eneo lake, kwa vile...

KWANINI PACOME HAYUPO SAUZI NA YANGA…SABABU NI HIZI

0
BAADA ya sintofahamu ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kutoongozana na kikosi cha timu hiyo kwenda Afrika Kusini, Tumezinyaka sababu ziliyomfanya asiwe sehemu...

BEKI SIMBA AFICHUA SIRI ZA JOSHUA MUTALE…JAMAA ANAJUA BALAA

0
MNYAMA SIMBA amejichimbia huko Ismailia Misri kujinoa zaidi kabla ya kuanza kwa msimu mpya, itakumbukwa klabu hiyo imefanya sajili nyingi za kutisha moja ya...

YANGA YAONGEZA MWINGINE…USAJILI WA DAMU CHANGA

0
KATIKA msafara wa Yanga ulioondoka juzi kuelekea Afrika Kusini kuna bosi mpya wamemjumuisha aliyeanza kazi kimyakimya. Kwenye msafara huo wa Yanga uliongozwa na Rais wa...

YANGA KUTESTI JESHI LAKE LEO…VS FC AUGSBURG

0
KIKOSI CHA WANANCHI jioni ya leo kitashuka Uwanja wa Mbombela, uliopo Mpumangala Afrika Kusini kuvaana na FC Augsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani, huku ikiwa...

MANARA AFICHUA ALIYENYUMA YA MAGOMA…AELEZA KILA KITU

0
Sakata la Mwanachama wa Klabu ya Yanga, Juma Magoma kulishitaki Baraza la Wadhamini wa klabu hiyo akidai kuwa katiba inayotumika kwa sasa si halali...

KIBU ATAJA KILICHOMCHELESHA KAMBINI…JEZI ZA SIMBA KUTAMBULISHWA SIKU HII

0
KUNDI Jingine la wachezaji wawili wa Simba limewasiri Kambini Misri, Lakini bado sura ya Kibu Denis haijaonekana na awali Simba kupitia chanzo kilichopo kambini,...

MAMELODI SUNDOWN WAINGILIA DILI LA MCHEZAJI WA SIMBA

0
SIMBA SC ni moja kati ya Vilabu vilivyopiga hodi mitaa ya Chamanzi kuulizia uwezekana wa kuipata saini ya Kiungo wao Feisal Salum "Fei Toto". Mnyama...

NYIE HANGIKENI TU…LAMECK LAWI HUYOO KATUA ULAYA

0
Huku sakata lake likiwa bado halijaamuliwa, mchezaji ambaye amezua sintofahamu kati ya Simba na Coastal Union, Lameck Lawi, muda wowote kuanzia sasa anatarajiwa kuelekea...

ALI  KAMWE ATOA KAULI  TATA KWA SIMBA…HALI IMEBADILIKA MSIMBAZI

0
Ali Kamwe Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga amesema Agosti 8 wataitumia 'kushona' midomo ya wale wanaoamini kuna timu zimekaribia daraja la Yanga...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS