Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

YANGA WAONDOKA KUIFUATA FS AUGSBURG YA BUNDASLIGA…BALEKE AONEKANA KWENYE MSAFARA WA...

0
KIKOSI cha Yanga kinatarajiwa kuondoka Leo Alhamisi kwenda kuweka kambi ya wiki mbili katika jiji la Mpumalanga, Afrika Kusini kabla ya kurejea nchini na...

YANGA YAMJIBU MAGOMA…INJINIA HERSI NAE AHUSISHWA

0
MASHABIKI wa Yanga hadi sasa bado hawaelewi kinachoendelea klabuni kwao, baada ya tangu juzi usiku kuenea kwa taarifa kwamba uongozi wa klabu hiyo hautambuliwi...

YANGA NJIA NYEUPEE LIGI YA MABINGWA…CAF YAANZA NA HILI.

0
WAKATI klabu sita zitakazopeperusha bendera ya Tanzania katikamashindano ya klabu Afrika msimu ujao, zimekwepa mtego wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) baada ya kupata...

SIMBA YAMBADILISHIA MAJUKUMU CALVIN MAVUNGA

0
BAADA YA SIMBA kufanya sajili za maana kwa msimu huu, wakileta maingizo mapya ya kutosha na benchi jipya la ufundi chini ya kocha Fadlu...

KWA MARA YA KWANZA STEVE MUKWALA NA MUTALE WAFUNGUKA

0
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kambini jijini Ismailia, Misri kujiandaa na msimu mpya wa mashindano, huku mastaa wawili wapya wa timu hiyo, Joshua Mutale...

UTABIRI WA SOKA LA BONGO UMETIMIA…AWESU AVAA JEZI YA SIMBA

0
Klabu ya Simba imetambulisha kiungo mshambuliaji Awesu Awesu kutoka KMC kwa mkataba wa miaka miwili. Awesu amejiunga na Simba akiwa mchezaji huru baada ya kununua...

MAYELE AMPAGAWISHA NABI KAIZER…AMPIGIA SIMU MOJA

0
Kocha mpya wa Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi ameuomba uongozi wake kuhakikisha unamsajili mshambuliaji wa Pyramids FC, Fiston Mayele kwa ajili ya kuimarisha safu yao...

PRINCE DUBE AHUSIKA KUMBAKIZA MUSONDA YANGA.

0
MSHAMBULIAJI Kennedy Musonda bado yupo Yanga baada ya kujumuishwa kwenye kikosi cha msimu ujao, huku mshambuliaji mpya Prince Dube akitajwa kuhusika. Awali, Yanga ni kama...

HUKUMU YA YANGA YAZUA BALAA…MAGOMA AFUNGUKA URAIS WA HERSI

0
Yanga imepokea hukumu ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu hiyo kufuatia hukumu iliyotolewa Agosti 2, 2023 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Kwa...

MGANDA WA YANGA AKATWA KICHWA…KUSAJILIWA MWINGINE WA KIGENI

0
BAADA ya beki wa kati Mganda Gift Fred kudaiwa kwamba amekosa namba kwenye kikosi cha Yanga, hivi sasa inaelezwa timu hiyo itamtoa kwa mkopo...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS