Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

CHAMA, DUBE, ABUYA, BALEKE WAIPA SERIKALI MAMILIONI

0
Uhamisho wa wachezaji wa kimataifa wa Yanga, Cleatus Chama, Prince Dube na Duke Abuya utainufaisha serikali mamilioni ya fedha. Msajili wa Vyama vya Michezo wa...

NGOMA BADO MBICHI TFF…SIMBA VS COASTAL UNION…MJUMBE MMOJA ATIMULIWA KWENYE KIKAO

0
Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Said Soud ametolewa nje baada ya mwanasheria upande wa...

BREAKING NEWS…PA OMAR JOBE APIGWA PANGA…MNYAMA ATANGAZA VITA

0
Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na mshambuliaji Pa Omar Jobe (25) baada ya kipindi kifupi cha miezi sita. Jobe alijiunga...

MCHEZAJI WA SIMBA ACHUKULIWA DODOMA.

0
ALIYEKUWA Beki wa Simba na Singida Big Star Joash Onyango msimu ujao atakuwa sehemu ya kikosi cha Dodoma Jiji, ni baada ya usajili wake...

TIZI LA MASTAA WA SIMBA LIMEKUBALI…CHE MALONE AFUNGUKA

0
MASTAA wa kikosi cha Simba wamesema wana kila sababu ya kufanya makubwa msimu ujao kutokana na viongozi, benchi la ufundi kufanya kile kinachowapa mwanga...

SAKATA LA AISHI MANULA SIMBA LINAENDELEA

0
SAKATA la kipa wa Simba, Aishi Manula aliyekuwa anadaiwa angejiunga na Azam FC iliyoweka kambi Morocco, bado ni sintofahamu lambapo hadi sasa bado yupo...

GARI LA SIMBA LIMEWAKA…MASTAA WAMEANZA KUELEWANA

0
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba kazi inaendelea kwa kuendelea na mazoezi kambini kuelekea msimu wa 2024/25. Msimu wa 2023/24 Simba iligotea nafasi...

YANGA KUCHEZA NA GOR MAHIA YA KENYA…WIKI YA WANANCHI HIYOOO

0
Klabu ya Gor Mahia Imetuma mualiko kwa klabu ya Yanga kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa mwishoni mwa mwezi huu. Mechi hiyo ni mahususi kwa...

CHAMA AIFIKISHA SIMBA MAHAKAMANI…MADAI YA KIMKATABA

0
INAELEZWA kuwa kiungo mpya wa Yanga, Clatous Chama amefungua shauri kwenye mamlaka ya soka nchini akidai kuwa waajiri wake wa zamani hawajampa release letter...

PRINCE DUBE APEWA VIATU VYA MAYELE…MWENYEWE AFUNGUKA

0
Ni zamu ya Prince Dube ndani ya Yanga. Hivyo ndivyo unaweza kusema baada ya mfupa walioushindwa Kennedy Musonda, Hafiz Konkoni na Joseph Guede katika...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS