Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1085 POSTS 0 COMMENTS

ULINZI WA LAMECK LAWI USIPIME…AONEKANA UBALOZI WA UBELGIJI

0
SIMBA Imetia timu na kuweka kambi Ismailia nchini Misri ikijiandaa na msim mpya bila kuwepo kwa mchezaji waliyemtambulisha Lameck Lawi. Kwani ko pande zipi? Popote...

JEMEDARI SAID: AZIZ KI AMESAINI MKATABA YANGA…CR BELOUIZDAD YATUMA OFA

0
"AZIZ KI ALISHASAJILIWA YANGA SC KITAMBO, ZINGINE MBWEMBWE TU ILI KULETA MVUTO KWENYE UTAMBULISHO WAKE." Mchambuzi Nguli wa Soka nchini  Jemedari Said Bi Kanzumari amesema...

MAPYA YAIBUKA MSIBA WA HANS POPPE…MAHAKAMA YAINGILIA KATI

0
MAHAKAMA Kuu iliyopo katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki cha Masuala ya Familia (IJC) Temeke, Dar es Salaam imetoa hati ya kukamatwa mkurugenzi mtendaji...

AZIZ KI ATUA BONGO KININJA…YANGA YAMFICHA HOTELINI

0
Taarifa itakayowashusha presha mashabiki wa Yanga ni kwamba hatimaye kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephanie Aziz KI, amewasili nchini huku akitolewa Uwanja wa Ndege...

MO DEWJI…TUMESAJILI KWA KUZINGATIA MAHITAJI

0
Mwekezaji na Mwenyekiti wa Simba, Mohammed Dewji (MO), amesema wamefanya usajili kwa kushirikiana na benchi la ufundi na maskati kutoka mataifa zaidi ya 50,...

ANDABWILE NI MALI YA YANGA…YANGA YAIJIBU SIMBA

0
KLABU ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Aziz Andabwile kutoka Singida Fountain Gates kwa mkataba wa miaka miwili. Kiungo huyo amejiunga na Yanga kuongeza...

DUCHU AOMBA KUONDOKA SIMBA…HAJASAFIRI NA TIMU

0
SIMBA huenda ikamtoa kwa mkopo beki wake wa kulia, David Kameta ‘Duchu’ baada ya kushindwa kupata nafasi katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo...

SIMBA KUACHANA NA KIPA WAO…SABABU NI HIZI

0
MABINGWA wa Ligi ya Wanawake SIMBA Queens msimu ujao haitaendelea na kipa wa timu hiyo, Zubeda Mgunda baada ya kumaliza mkataba wake mwishoni mwa...

YANGA YAMFUATA NABI SOUTH…INJIA HERSI AFUNGUKA MAZITO

0
YANGA SC itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini inayonolewa na aliyekuwa kocha wa klabuni hiyo Nasreddine Nabi Julai 28...

KAGAME CUP KUANZA KINYONGE…SIMBA NA YANGA WASUSIA

0
PAZIA la mashindano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) 2024 linafunguliwa leo ikiwa ni mara ya kwanza katika historia kwa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS